Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msikate tamaa wandugu ipo siku sote tutashinda. Tuweni pamoja kama timu ya betters tukishindana na timu ya wenye kampuni za betting, tutafute strikers, mid, defemders, wingers.
Awepo mtu wa Scouting huyu atakuwa ni mtu ambae atakuwa anapitia timu zinacheza siku hiyo aone idhaifu wa timu moja, back to back nani kashinda na possibilities za kushinda, afu anauweka mkeka hapa
Kocha wetu Morinho yeye ni ushindi haijalishi njia gani imetumika.
We can all win this game if we put our mikeka for valuation before placing the bets,
Kila siku twapoteza hela nyingi sababu hatuko makini kwenye kuangalia uimara wa timu iwapo nyumbani au ugenini.
Tusibet kwa mazoea kuwa timu fulani itashinda kisa ni timu kubwa.
Leo Liverpool kapigwa goal 3 na timu ambayo sote tuliiandamaini.
Mwisho jamani tuanze upya maana mitaji itakauka soon. tamuuuuu Rockcity native rahim_baharia xyz123 MADAWA asrams na wengineo wote
Tubadili mbinu zetu ndio tutashinda vinginevyo humu tutatangaza STATE OF EMERGENCY.
 
Last edited by a moderator:
Dah, hii meridian siku za weekend online siyo kabisa. Yaani website iko slow weeee.

Ya kipuuz kinyama mtu unaweka mkeka ukiclick inaleta error yaan nimekosa ela mpka nikaghair maana nilishazipoint ushind arsenal,madrid na soton
 
Nataka kujua jinsi ya kuweka mzigo(kubet) kupitia Ladbroker na Meridian
 
Nataka kujua jinsi ya kuweka mzigo(kubet) kupitia Ladbroker na Meridian

Mkuu unataka kujua online kubet au vibandan maana kama vibandan ukifika unakutana na wahusika unapata maelezo yote na online kama meridian google uingie kwenye site yao kuna maelezo ya kutosha jinsi ya kubet
 
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga

Nifundishe jinsi ya kujiunga na kuweka mzigo kwenye ladbroker
 
Kaka Mimi nataka online,Coz mimi natumia M-BET na haina option nyingi.Embu nieleze kwa kifupi sana hii Meridian labda jinsi ya kuulipia Mkeka na ukila mkwanja unatumiwa vipi
 
Kaka Mimi nataka online,Coz mimi natumia M-BET na haina option nyingi.Embu nieleze kwa kifupi sana hii Meridian labda jinsi ya kuulipia Mkeka na ukila mkwanja unatumiwa vipi

Ingia google andika meridianbet.co.tz unajisajil wanakutumia link kwenye e-mail yako ili uactivate account yako ukishatoka hapo unaweza kudeposit kwa kutumia mpesa au kwa debit card na kutoa ela hivyo hivyo unaweza kutoa ela kwa mpesa au kwa debit card yako jinsi ya kucheza unachagua mchezo unaotaka kama football itakuletea nchi husika kwa mfano england,italy n.k sasa kama utaclick england itakuletea ligi zote za england kwa siku hyo kwahyo kama mzee wa barclays premier bas utaclick hapo kama mzee wa championship utabonya hapo itakuletea mechi husika na odds zake
 
Nimekuelewa Mkuu na Ahsante sana
 
Mkwanja unaweka na kutumiwa kwa mpesa

Samahani mkuu kwa maswali mengi,kwani kujua kitu kiundani ndio mafanikio
Na idadi ya timu mwisho kuweka ni ngapi.....?
 
Mkwanja unaweka na kutumiwa kwa mpesa

Samahani mkuu kwa maswali mengi,kwani kujua kitu kiundani ndio mafanikio
Na idadi ya timu mwisho kuweka ni ngapi.....?

Timu 13 ambazo ni nyingi sana na kwa kawaida ni ngumu kushinda labda uwe na mzizi sababu muhindi ni mgumu kuliwa
 
Hatimaye leo kanjibai amekaa, Baada ya kugongesha miamba mara nne (kwa timu moja kuchana mkeka) ndani ya wiki moja. Hatimaye leo kanjibai nimemuingiza katika 18

d.JPG

Mkuu andybird314, Mimi baada ya kupopolewa sana na kanjibai nilikaa nikajiuliza napopolewa wapi na kwa nini ninapopolewa. Baada ya kujitathmini sana nikagundua vitu vifuuatavyo ndivyo vinanichanisha mkeka

1. Kutegemea mkeka wa timu nyingi

2. Kurudiarudia timu kwenye mikeka tofauti.

3. Kubet kwa mazoea na kutoangalia upepo wako upo wapi siku hiyo. Hapa utakuta mtu anabet matokeo ya mwisho wakati dhahiri matokeo ya mwisho yanaonekana kuwa magumu na say labda idadi ya magoli inayoonekana rahisi yeye haibetii. Kumbuka hii ni biashara, Biashara siku zote muuzaji huleta kitu wanachotaka wateja na sio kile akipendacho yeye(siyo kwa kuwa wewe ni mpenzi wa colgate basi unajaza colgate tuu dukani, wakati wateja wanataka whitedent, Usipoangalia colgate zako zitakudodea na mwishowe kupata hasara).

4. Pia Inatakiwa uwe versatile na ukae kibiashara zaidi (inataakiwa upige miguu yote). kuna michezo ni rahisi sana kupiga pesa apart from football. Mimi kwangu michezo myepesi kupiga pesa football nauweka namba nne kwa mtiririko huu 1. Basketball, 2. Baseball 3. Tenis na wa nne ndio football. Katika michezo say basket, ukiwa makini unapiga pesa mpaka basi hususani katika option ya Live betting.

5. Nilikuwa sichezi live betting. Ila baada ya kuichukulia betting kama ajira yangu ya pili, Imebidi nicheze online live betting. Na kulifanikisha hili na kuwa serious na biashara zaidi Nimenunua na kujiunga na kifurushi cha mwezi cha GB 41 (thanks to Airtel kwa 3.75 G yao ya ukweli na bundle za bei rahisi, Kitu muda wote kinasoma H+), Maana masuala ya kuishiwa vocha/data bundle yanaweza kukukosesha pesa kwani within fraction of second kama unacheza online unaweza kuta odds haziko upande wako ukoweka mzigo. hivyo kuulinda mtaji unatakiwa urudishe mpira kwa kipa sometimes kwa kugenerate ticket ambayo inajicancel na ile ya kwanza.

6. Watu wanabet pasipo kufanya research ya kutosha juu ya timu wanazobetia.

Thanks kwa Biohazard na trick yake ya timu moja mkeka mmoja. Hii inafaa sana, na ameniongezea kitu kipya. One love.

Naomba niseme kwamba wiki hii ni wiiki ya faida kwangu, Kwa wiki hii pekee nimetengeneza Net profit ya takriban shilingi Laki tano za kitanzania. Safari yangu ilianza na elfu kumi siku ya champions league. Muhindi anaichukulia hii kama biashara yake, Lakini nimegundua sisi tunaiichukulia poa. Natumai haya tukiyazingatia tutampiga Kanjibai.
 
Back
Top Bottom