Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkosi unaendelea ... Maldives mmetumwaa??? mxiuuuuuuu
huu mchezo wa hovyo sana, mimi niliandika andika tu
1476239229484.jpg
 
Nimeshajilipua game za weekend mapemaaaa. Fuata inzi ule maviiiiiiii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
1476249641440.jpg
 
Hivi wakuu Meridian bet online ni lazima kutumia vodacom mpesa au hata kwa tigo pesa inawezekana??
 
Wadau ,naombeni msaada wenu hapa Nina khali gumu juzi nimeliwa lak 200000 kwa Leo nahitaji odd 2 niweke lak 1 niokoe jahaz
Cc Mr. Wise
Buddy
Wakusoma
Perpendicular
Na wadau wote wa hii biashara.
 
CULTURAL LEONESA, HERCULES all win hapa uhakika wa kumpiga Muhindi upo
 
Wadau ,naombeni msaada wenu hapa Nina khali gumu juzi nimeliwa lak 200000 kwa Leo nahitaji odd 2 niweke lak 1 niokoe jahaz
Cc Mr. Wise
Buddy
Wakusoma
Perpendicular
Na wadau wote wa hii biashara.
Como win
Frome win
Rayo valecanno 0-3
 
Back
Top Bottom