Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu unapose authentic bet INA maana gan???
Yani haitakuwa invalid/batili, kwasababu imewekwa baada ya mechi kuisha. Basically waichukulie kama bet halali. Lakini kama bet imekuwa batili kwa sababu moja au nyingine (in this case bet imewekwa baada ya mechi kuisha) hopefully watarudisha the stake iliyowekwa.
 
Inplay (2.00 odds)
Saudi Arabia v United Arab Emirates = Total goals over 1.5
 
Leo naomba mechi zote zitoe under 2.5
Kasoro ya Scotland tu itoe over 1.5
 
1476222222792.png


Wazee mbona hapa nahisi kuibiwa.. Mkeka umetoa halafu wanasema ticket lost au Mimi ndo sjaelewa.
 
Back
Top Bottom