View attachment 416417
Wazee mbona hapa nahisi kuibiwa.. Mkeka umetoa halafu wanasema ticket lost au Mimi ndo sjaelewa.
Bet WONInplay (2.00 odds)
Saudi Arabia v United Arab Emirates = Total goals over 1.5
huu mchezo wa hovyo sana, mimi niliandika andika tuMkosi unaendelea ... Maldives mmetumwaa??? mxiuuuuuuu
Mkuu naona upepo wa kumla unao badohuu mchezo wa hovyo sana, mimi niliandika andika tuView attachment 416421
VodacomHivi wakuu Meridian bet online ni lazima kutumia vodacom mpesa au hata kwa tigo pesa inawezekana??
Vodacom
Ushauri kabla hujauliza pitia thread zilizopita maana inakuwa monotonous.
Como winWadau ,naombeni msaada wenu hapa Nina khali gumu juzi nimeliwa lak 200000 kwa Leo nahitaji odd 2 niweke lak 1 niokoe jahaz
Cc Mr. Wise
Buddy
Wakusoma
Perpendicular
Na wadau wote wa hii biashara.
odds 500
Wadau ,naombeni msaada wenu hapa Nina khali gumu juzi nimeliwa lak 200000 kwa Leo nahitaji odd 2 niweke lak 1 niokoe jahaz
Cc Mr. Wise
Buddy
Wakusoma
Perpendicular
Na wadau wote wa hii biashara.