Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu ni ule wa kibishi. Jilipue at your own risk. Hapo odds zinakuja 12 in total. Ukiamua kula cha haramu, chagua kile kilichonona. Bet at your own risk, Bet responsibly.
 
Attachments

  • 1411416924495.jpg
    33.9 KB · Views: 131
Huu ni ule wa kibishi. Jilipue at your own risk. Hapo odds zinakuja 12 in total. Ukiamua kula cha haramu, chagua kile kilichonona. Bet at your own risk, Bet responsibly.

huu nimeupenda sanaaa!
 
Naombeni Somo kidogo na hii Meridian,jinc ya kujiunga na inachezajwe,maana nackia tu red card(nyie ndio kina webbee) mara nackia penalty,odds

Embu nipeni Lecture Khusu Meridian 2mfilic Kanjibai Ili Shabani awe huru.

Na hii ladbrokes ndio nin tena...?
Mie nimezoea M-BET.
 
Naombeni Somo kidogo na hii Meridian,jinc ya kujiunga na inachezajwe,maana nackia tu red card(nyie ndio kina webbuee) mara nackia penalty,odds

Embu nipeni Lecture Khusu Meridian 2mfilic Kanjibai Ili Shabani awe huru.

Na hii ladbrokes ndio nin tena...?
Mie nimezoea M-BET.
 
Dah utakuwa unatumia vibaya kodi ya meza
 
Wadau mbona meridian wananizingua kwenye kujiunga Yan nimefungua fresh ila kila nki login wananambia player not found na email yenye codes wamentumia ila sijajua naziingiza wp zile codes
Cc xyz123 Numerator Andybird
 
Last edited by a moderator:

Fungua link uliyotumiwa kwenye email ili account yako iweze kuwa active.
 
Last edited by a moderator:
Fungua link uliyotumiwa kwenye email ili account yako iweze kuwa active.

Jana nimefanya hvyo na sahiv nimetoka kufanya hvyo tena ila bado player not found, na zile codes walizotuma unaziingza wp mzaz
 
Jana nimefanya hvyo na sahiv nimetoka kufanya hvyo tena ila bado player not found, na zile codes walizotuma unaziingza wp mzaz

Piga simu ofisi zao namba hii 0754303031 au 0754303032 watakusaidia kutatua tatizo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…