Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aseee nilijua ni mimi mwenyewe nilijaribu ad kuwapigia airtel kwa msaada zaid wap naona mulemule server error
 
Timu 13 ambazo ni nyingi sana na kwa kawaida ni ngumu kushinda labda uwe na mzizi sababu muhindi ni mgumu kuliwa

mkuu nadhan jamaa atakuwa amekosea kubet meridian unaanzia sh 100 online na idadi ya timu unaweka utakavyo kwan mimi huwa naweka timu hadi 30.
 
Jaribuni kutumia old version ya meridian

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkeka was kibishi unaweza ukatoa huu
 

Attachments

  • 1411568773950.jpg
    32.7 KB · Views: 111

Hili tatizo nililipata sana na Tigo nikabadili nikaweka Voda ilisaidia angalau nayo ikaanza kusumbua nikarudi Tigo ndio nasua sua nayo..,,


Alafu mkeka wako nimeumalizia ule nashindwa kuupiga screenshot wote niuweke humu..
 
Huyu mzungu ni ----- sana yani siku za kula hela huwa anauminya mtandao kwenye website yake mfano ni siku za weekend ama siku kama leo,
 
Mimi natumia application yake ya android, nimeitest hapa haisumbui hata kidogo..
 
Fuc...k, yaani nashindwa kuingia katika website kabisa ya meridian. Na issue siyo network ya simu maana simu na network ya airtel ninayotumia ipo stable mbaya. Now ninauwezo wa kustream mechi mbili online at a time. Na dashboard inasoma 7 Mbps. Huyu ni yeye tuu kaibana hii network kwa makusudi kabisa. Ngoja soon nihamie Bet365 ama Ladbrokes. Nimejaribu kuingia na VPN network inaonekana kurespond vizuri ila wameblock users wa nje ya TZ kucheza.
 
Cheki kama hapo chini screenshot ya sasa, network yangu inasoma H+ lakini kipage chao kinazingua kufunguka.
 

Attachments

  • 1411573030102.jpg
    20.4 KB · Views: 88
baada ya red card market kunigomea kwa bets ka tatu ivi in a row..najipumzisha kwenye hiyo option mpaka wikiend.....leo natupia First 10 minutes ni DRAW....nimeweka $20 nipate $38 :help:

 
Cheki kama hapo chini screenshot ya sasa, network yangu inasoma H+ lakini kipage chao kinazingua kufunguka.

Hii SMS siipendagi kweli, anafanyaga makusudi mbwa huyu. Ila kuna siku alinisaidia maana alikua anipasue 50
 
nipe maujanja hayo yanapatkana meridian?

hii haipo meridian...ipo iplay8, unaweka gem ambazo hakutakua na goli katika dakika kumi za mwanzo! hii haitaji kusubir sana....unasikiliza nyimbo zako mbili, zikiisha...unacheki kama shimo limetema!!

hii ukiweka gemu ka nne (nashauri maximum iwe 5 games ) ivi, almost unadouble kiasi ulichoweka....kwaiyo unahitaj dau kubwa kidogo.... success rate ya hii option sio mbaya saaana
 
wazee wenzangu embu nisaidieni hapa, ticket yangu wanaiita half loser ticket alafu mech ya fiorentina imeisha bila red card..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…