Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah Barcelona kaua wengi mimi mmoja wao, rahim_baharia hapo mie sielewi maana haijawahi nitokea.
He hiyo half lose wamekupa sh ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hapa sielewi mzee mwenzangu ngoja waje vijana wa mikakati

Ngoja nitawapigia simu.

Dah Barcelona kaua wengi mimi mmoja wao, rahim_baharia hapo mie sielewi maana haijawahi nitokea.
He hiyo half lose wamekupa sh ngapi?

Bado kuna mechi moja pending nilijichanganya nikaweka na moja ya leo., so far awajanipa kitu bado.

kinachonishangaza nimepita kote livescore,sofascore, flashscore, soccer24 akuna sehem walioandika hiyo mechi iliisha na red card. au labda kocha ndio alipewa hiyo card???
 
Last edited by a moderator:
mkuu, odds zilikuja ngapi na unakiwa upate sh ngapi!? maaa jana gem zilikua kama 19 hivu alafu zote hazina red card

Odds zilikuja 13.6 nikanyonga 11,000 return ilitakiwa iwe zaidi ya 136,000
 
hiyo mechi ya fiorentina nimeiangulia kulikua hakuna redcard ya aina yoyote

mi mwenyewe ndio nashangaa yaani, nimejiunga juzi ila dizaini naona kama wamekaa kitapeli tapeli..

Ngoja nkaongeze pesa meridian....ukifanya mpango tupe tuchungulie mkuu:thumbup::thumbup:

usihofu ndugunitaweka, lakini shout out kwa xyz123 ndio nilicopy kwake mech nyingi..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari..naomba kujumuika nanyi mi investor kama nyinyi sema sio wa mda sana.
 
wakuu nimeongea na Meridian customer care wanadai hilo tatizo ni wengi tu wamelipata so wanadai wanalishughulikia..,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…