Msingi_Mbio
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 336
- 44
Hahahaha huyu mzee ni mfanya biashara muoga, ameona bora hiyo hela anywee sumu kuliko kuizalisha!
Hahahaha toka last weekend napigwa na za uso tu, kujipanga muhimu otherwise hata lunch money ya shule ya mtoto wangu ntaidokoa nianze kuwekeza
Marefa wanatoa kadi nyekundu kwa hasira kutukomesha!
hahaha viipi tena kuna red nyingine nini??
Game ya Swansea, nilikuwa sijaona updates mkuu.
Duh the war is bitter now. All the soldiers are almost retreating
nimejaribu kulinda pesa yangu, nakushauri na wewe ufanye hivyo pia.
Umelindaje mkuu, tupeane maarifa hapa.