Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meridian wapo vizuri sana aisee. I salute them, yaani hela unaipata kweli within 24 hours. na unapewa ya kutolea kabisa! BIG UP MERIDIAN!!
hahaha mr robut anakuchek tu unavo msaliti
Haaahaaa, Roburt aboreshe huduma,
Hawa jamaa me wananzingua kwenye rrgstration naambiw et player not found namba zao nlizopewa nkipga hawapokei
Hawa jamaa me wananzingua kwenye rrgstration naambiw et player not found namba zao nlizopewa nkipga hawapokei
Kijana baada ya kusign up unachotakiwa kufanya nenda kwenye inbox ya email address yako wamekutumia link ya kuactivate hyo akaunt. Click hyo link then utaambia akaunti tayari imkuwa activated
kuanzia hapo utaenda kusign in na hilo tatizo la player nt found linapotea
umetulia mkuu, na mimi ngoja niandae wangu...Kama mzee mwenzangu Mtoto wa nzi na mimi natupa karata yangu ya pili hapa..,, sipati kiwanja kweli hapa?
Mie hela yangu naenda club kunywea redbull na nyama choma, weekend hii napumzika
Mzee mwenzetu usije kujuta ukituona tunasheherekea..
Mkeka wangu wa leo jamani huu hapa naombeni ushauri. westham win, chelsea win, evertone win,arsenal win, man c draw, .