Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridian wapo vizuri sana aisee. I salute them, yaani hela unaipata kweli within 24 hours. na unapewa ya kutolea kabisa! BIG UP MERIDIAN!!

Hawa jamaa me wananzingua kwenye rrgstration naambiw et player not found namba zao nlizopewa nkipga hawapokei
 
Hawa jamaa me wananzingua kwenye rrgstration naambiw et player not found namba zao nlizopewa nkipga hawapokei

ni kweli kwenye registration inasumbua. Hapo jambo la uhakika la kufanya ili usibahatishe we wapigie simu.
 
Hawa jamaa me wananzingua kwenye rrgstration naambiw et player not found namba zao nlizopewa nkipga hawapokei

Kijana baada ya kusign up unachotakiwa kufanya nenda kwenye inbox ya email address yako wamekutumia link ya kuactivate hyo akaunt. Click hyo link then utaambia akaunti tayari imkuwa activated

kuanzia hapo utaenda kusign in na hilo tatizo la player nt found linapotea
 
hata ukikosea password wanakuambia hivyo pia. ndio maana nikamshauri awapigie.
 
Duh, ila meridian issue ya network kuwa slow wananikera sana. Hawatutendei haki watu tunaocheza online. Na hii sio fair kabisa.
 
huy.jpeg
kuna man city, benfica, monaco, atletico madrid na atletico bilbao...........
 
Mkeka wangu wa leo jamani huu hapa naombeni ushauri. westham win, chelsea win, evertone win,arsenal win, man c draw, .
 
wadau naomba msaada kati ya hizi mechi mbili... unakuta mtu amebet namna hii maana yake nn? je katika meridian hizi option zipo? ntashukuru
Korona Kielce vs Piast Gliwice x(0:1)
[TABLE="class: typstable"]
[TR]
[TD] Atalanta vs Juventus x(1:0)
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mic test one two ....one two.....
watford 2.8,leeds 3.35,leicester 2.8, swindown 2.6 na york city2.25 .... accumulation points 153.6444 kwa 1ooo returns 153,6444=...... buku 5 una laki saba.... ROHO NGUMU .....UNASAHAU KAMA UMEBET
 
Back
Top Bottom