strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Hahaha au sio c.e.o
Wee acha tu yani hapa namsubiria barca tu ila naona leo kaingia choo cha watoto lazima akalie pot!
duh leo kweli gg zimetokea sana, wale wa final win leo chali !mi nshamaliza biashara kwa leo gg
Wazee wa mikeka
Leo weka
Aberdee win
Middledlesbrough win
Atl. Bilbao win
Barcelona win
Derby win
Chelsea win
Bayern win
Man cty win
For your own risk. Pia mzgo mrefu upate nying
Umeingiza machakani wenzio
Makampuni kapigwa tanji asiingie jengomakampuni kafanyaje tena
Makampuni kapigwa tanji asiingie jengo
la New Africa maisha
Huyu ni professor wa kubet.....hakuna asiyemjua makampuni kwaMakampuni ndio nani.? Why kapigwa hiyo tanji
Huyu ni professor wa kubet.....hakuna asiyemjua makampuni kwa
wanao bet hasa wa pale New Africa
Ukiwa unahitaji msaada wowote kwenye kubet wasiliana
na professor Makampuni, mtaalamu wa kubet namba yake
ni 0755 520 584
Ni bure......ukifanikiwa unaweza ukamtoa kdg ni uamuzi wakoKwa hyo anakulipish au??
Unamjua Makampuni mkuu?mda si mrefu na mimi ntakua makampuni
Unamjua Makampuni mkuu?