Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukiwa unahitaji msaada wowote kwenye kubet wasiliana
na professor Makampuni, mtaalamu wa kubet namba yake
ni 0755 520 584

Hahahaha mkuu kama atatembelea Range Rover Evogue niambiwe nimwombe ushauri. Unless nae pia anabahatisha kama sisi
 
Acheni hizo, hapo kuna mtu atalizwa si muda mrefu!
Boflo wewe jamaa kashawahi kukusaidia? Umetoka?

Unaonaje timu atakazokuwa anakutabiria ukishare hapa ili tufanye assessment na sisi tumwamini?
 
Last edited by a moderator:
Acheni hizo, hapo kuna mtu atalizwa si muda mrefu!
Boflo wewe jamaa kashawahi kukusaidia? Umetoka?

Unaonaje timu atakazokuwa anakutabiria ukishare hapa ili tufanye assessment na sisi tumwamini?

Hilo ndio la maana
 
Last edited by a moderator:
Kuna umuhimu wa kubet game chache halafu probable chances, mfano leo:-

Atletico Madrid to score 1+: Odd 1.32
Real Madrid to score 2+: Odd 1.21 (Au win 1.18)
Arsenal win or draw : Odd 1.11

Total odds ni 1.77, hapa ukiweka 40,000 unapata faida ya 30,000. Si haba, tofauti na kuweka timu nyingi ukaambulia kupoteza, hata kama iliyopotea ni 5,000.

Tatizo moja la betting, kadri unavyobonyeza zile odds kuwa nyingi ndivyo hisia za kutusua zinaongezeka lakini pia chansi ya kupoteza ni kubwa zaidi.

Tutaendelea kujifunza na kupata mbinu zaidi, timu ukiona haiko consistent sio vizuri kubet game zake, mfano PSG, Dortmund, Liverpool, Man U, ni timu ambazo hutakiwa kuzibetia labda kama unajaribisha.
 
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa
 
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa

mkuu atletco kufungwa na juve tena wapo nyumbani ni ngumu, juve anaweza akaloana au drwa, nahis gg inaweza tokea. benfica kumfunga bayer levekusen tena bayer levekusen akiwa nyumbani ni ngumu sana, bayer levekusen anaweza shinda au drwa, gg pia nahis ipo. madrid odd zake ndogo sana haina haja ya kumpa halafu bahati mbaya inatokea anadrwa. ni maoni na ushauri wangu tu. zenit na asernal hapo safi wanaweza shinda gemu zao.
 
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa

mkuu atletco kufungwa na juve tena wapo nyumbani ni ngumu, juve anaweza akaloana au drwa, nahis gg inaweza tokea. benfica kumfunga bayer levekusen tena bayer levekusen akiwa nyumbani ni ngumu sana, bayer levekusen anaweza shinda au drwa, gg pia nahis ipo. madrid odd zake ndogo sana haina haja ya kumpa halafu bahati mbaya inatokea anadrwa. ni maoni na ushauri wangu tu. zenit na asernal hapo safi wanaweza shinda gemu zao.....
 
Naona game hizi znatoa GG
Zenit vs Monaco
Madrid vs juve
Basel vs liver
Lever vs Benfica
Wacha mi ni take risk kwa game hizi..
Je wakuu mnaonaje.
Dortmund anarusuhu sana magoli ila sina uhakika na striking force ya Anderletch..
 
tusidanganyane hakuna profesa wa betting ..betting ni bahat iambatanayo na tekniki ..na ukichana mkeka means umeliwa mawazo yako (rasilimali zako ni pesa na mawazo so ukiliwa mawazo unapunguza pesa viceversa)tusidanganyike na hadithi za abunuasi kama yy prof kweli akakope mamillion bank abet afanye marejesho....
NB: usibet kwa kutengemea historia za timu eg H2h /last 5 match .historia inawekwa ili zivunjwe
: usipumbazike na wingi/uchache wa odds anazoweka kanjibah 1.15 -14.6 ..mpira dk 90.
:betting kile unachodhania hakiwezekani ndo kinatokea and viceversa ..
 
Naona game hizi znatoa GG
Zenit vs Monaco
Madrid vs juve
Basel vs liver
Lever vs Benfica
Wacha mi ni take risk kwa game hizi..
Je wakuu mnaonaje.
Dortmund anarusuhu sana magoli ila sina uhakika na striking force ya Anderletch..

Hapo kwenye nyekundu usiweke GG, Liverpool hana strikers kwa sasa!
 
Nkitaka dfrence ya one goal meridian naweka ipi?? Maana naona handicap optionz chungu nzma had znachanganya

mkuu Sniper nenda utakuta
mfano: Zenit [2.05] Monaco[1.64] H[1.00]
kwaiyo hapo zenit handcap ya zaid ya goal moja ni 2.05
kwa negative n hivi sorry
zenit[11.5] Monaco[1.03] H[-3.00] hapo inamaanisha monaco akimfunga zenit kwa handcap ya 3 unachagua kwa zenit yenye point 11.5
 
WADAU ME NATAKA KUINGIA KTK ULIMWENGU HUU BT SIELEWE VZURI. M bet nayo najarbu siielewi
 
Back
Top Bottom