Kuna umuhimu wa kubet game chache halafu probable chances, mfano leo:-
Atletico Madrid to score 1+: Odd 1.32
Real Madrid to score 2+: Odd 1.21 (Au win 1.18)
Arsenal win or draw : Odd 1.11
Total odds ni 1.77, hapa ukiweka 40,000 unapata faida ya 30,000. Si haba, tofauti na kuweka timu nyingi ukaambulia kupoteza, hata kama iliyopotea ni 5,000.
Tatizo moja la betting, kadri unavyobonyeza zile odds kuwa nyingi ndivyo hisia za kutusua zinaongezeka lakini pia chansi ya kupoteza ni kubwa zaidi.
Tutaendelea kujifunza na kupata mbinu zaidi, timu ukiona haiko consistent sio vizuri kubet game zake, mfano PSG, Dortmund, Liverpool, Man U, ni timu ambazo hutakiwa kuzibetia labda kama unajaribisha.