Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tips zangu za leo,

19:00 Armenia - France , away win

21:45 Poland - Scotland , home win or 1X&(0-3)

21:45 Denmark vs Portugal , GG or 1X&(0-3)

21;45 Faroe Island - Hungary , away win
 
Armenia vs France (Aw2)

Poland vs Scotland (half with more goals 2)
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Attachments

  • 1413288328635.jpg
    1413288328635.jpg
    31.8 KB · Views: 117
China ameharibu siku yangu vibaya sana si bora angekubali afingwe tu
 
Dah watu tushakula hasara ile mbaya.
Hapa hii mechi imeuzwa kabisa
 
Wazee wenzangu hebu nipeni mstakabali wa mechi ya Denmark na Portugal! Portugal win ana odd ya 2.3, hii ni sawa au ni kutegana!
 
Wazee wenzangu hebu nipeni mstakabali wa mechi ya Denmark na Portugal! Portugal win ana odd ya 2.3, hii ni sawa au ni kutegana!

timu za scandnavia au mashariki ya mbali zikiwa home we zipe tu ushindi au double chance
 
Back
Top Bottom