Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu 150 TUU
Tujiunge kwenye Group moja
La telegram ili tujumuikeni kwa
Kupeana mikeka na tips kabla ya game kuanza
Na tuwe online kwa notification
Usiwe ni mtu wakutegea na kutabiri ubovu
Kama una nyota ya punda
Usitake tukuadd
+255719173441

Humu ndani tupo zaidi ya 150, hao wengine tutawapeleka wapi.?

Na sio wote watakaotaka kuexpose namba zao za simu katika public. So it is better and safe humu tulimo rather than huko unakotaka twende.
 
Nop i mean wale serious gamblers wa football
Unajua humu ndani wengine bendera fwata upepo
Mfano huo mkeka hapo juu utakuta kuna watu washaubet
Kama hamsini hivi
Ila mkiwa serious
Mbona huyu kanjibah analika vizur
 
1153505854544 Standard account
------------------------------------------
[12/12]
0472 14-10 21:50:00 Cholet-Nanterre
Total pts&Win 1[150.5] 1&-P 3.10
0520 14-10 22:00:00 La Bruixa d Or-Barcelo
Points 1 Qtr[38.5] < 1.89
0102 14-10 18:00:00 Turk Telekom-Fenerbahc
Total points [146.5] > 1.86
0541 14-10 13:00:00 Mobis Phoebus-KCC Egis
Total points [148.5] > 1.86
0507 14-10 20:30:00 Artland-Lyon
Home points[81.5] < 1.81
0532 14-10 22:30:00 Gran Canaria-Cantu
Home points[78.5] < 1.74
0540 14-10 18:00:00 Krasnye Krylia-Tsmoki
Total points [155.5] < 1.76
0265 14-10 12:00:00 Berkuty Krasnodar-MHC
Total Goals 6+ 1.83
0487 14-10 12:00:00 Orix-Nippon HF
Total points[7.5] < 1.90
0542 14-10 13:00:00 Seoul Knights-Goyang O
Total points [146.5] < 1.86
0879 14-10 15:00:00 Russkie Vityazi-Kapita
Total Goals 0-5 2.35
[1/2]
0738 14-10 15:00:00 Avangard-Sibir
Total Goals 6+ 2.05
Home Goals[3.5] Over 2.10
------------------------------------------
Total: 500.00
------------------------------------------
Max payout: 1773876.98
Min payout: 876252.49
Combination count:
 
Hiiii hapana siwezi bet
Ukitaka ule
Na mie mbinu nnayoitumia
Ni timu mbili unaweka kwanzi 50,000 kuendelea
Ila timu zikiwa nyingi kula ni kugumu.........
 
xyz123 nimependa mkeka wako ngoja nikaweke hela mida hii maana Meridina Mpesa wamenigomea. So ni mwendo wa sportpesa hadi kieleweke
 
Last edited by a moderator:
mi naona huu mchezo ni bahati zaidi kuliko mbinu ndio maana unaweza kuweka timu moja ukaliwa na mwingine akaweka tisa akala
 
Hiii hapa ya saa &#9995;
 

Attachments

  • 1413272692432.jpg
    1413272692432.jpg
    54.8 KB · Views: 105
mi naona huu mchezo ni bahati zaidi kuliko mbinu ndio maana unaweza kuweka timu moja ukaliwa na mwingine akaweka tisa akala

Betting sio bahati. Betting ina mbinu zake, swala la bahati linakuja mwishoni baada ya kuwa ushaweka mbinu zako.

Game zinazofuata bahati katika betting ni chache sana.
 
Sportpesa huwa wana jackpot kila week na mshindi anapata 5.34 milion kenyan shillings. Mshindi wa week iliyopita kasema kuwa alishinda sababu alikuwa anasoma kila timu, udhaifu wake, wachezaji wake etc, back to back maches na baada ya hapo ndio anabet.
Betting ni kutumia akili zaidi na si bahati
 
Back
Top Bottom