Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

oyah wadau mi nipo mkoa huku wiki ya pili imenibidi nijiunge meridian online, sasa wameniambia naingiza pesa via M-Pesa. sasa sina line ya voda. je Nikiweka kw ku2mia line ya m2 mwingine cyo mbaya?! siku mzigo unatema ucje ikaingia kwenye sim yake .......

Grand PA
 
jitahidi ujisajili kupitia line yako. Itakuletea shida sana.
 
Waungwana nilikuwa na tathmini gem mbil hapa kat ya Liverpool vs Real Madrid .... Olympiakos vs Juventus... Kweli juventus anaweza akakubali apigwe gem mbil UEFa na Madrid ampige Liverpool .. Meridian wote wamepewa odds kubwa
 
tips yangu ya leo

21:45 Iceland - Holland , GG odd 1.91

21:45 Bosnia - Belgium , X2&(0-3) 0dd 1.77

Nimechukua na ku edit tip yako #2 ..,, Nikipigwa basi..,,
 
Attachments

  • 1413208035983.jpg
    1413208035983.jpg
    46.4 KB · Views: 141
Back
Top Bottom