Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hyo ya kwanza inamaana timu ya nyumban ishinde au draw na magol yawe chin ya matatu na hyo ya pili hivyohivyo ila magol yazid mawil

Nitajaribu international break ikiisha..,,
 
Jamani mkeka wa usiku nimejilipua wales win na chile win. Odds imekuja 4 na uchafu
 
Kiufupi hali ni mbaya wazee wenzangu! Nataka nilale nimejitengenezea bomu maana internationals hazitabiliki.

Hii biashara imepitishwa katiba mpya?

Haki zetu zinalindwa kweli?
 
hahahahaha kwaiyo unataka tugome mkuu? kama vipi tupige kura ya hapana
 
M bet wanaelekea kunitapeli tena!Jumapili walinitapeli elfu 20 kwan nilibet km saa 6 mchana (sev&chel washnde niliweka elf 10 na ikawa hvyo),then niliwapa r madrd&benfica both teams handicap na ikawa hvyo kwa elf 10 pia).Saa 2:30 usiku nikaweka elf 10 nyingine kwa napoli&psg washinde hapo nikapotea!J3 alfajiri wakan¨¬tumia receipt ya napoli&psg!Saa 1 usiku wanarudisha pesa yangu nilizoweka mapema ambazo ZILISHINDA.
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA0‰0NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.
 
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA�0‰0NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.

Ndiyo maana nasema hii biashara inabidi iwe rasmi kwa kila upande, sasa wewe ukishindwa ndo unapata tiketi, ukishinda tiket inafeli. Huo ni utapeli, harafu nature ya hii biashara jinsi ya kumshtaki ni kazi.

Itabidi hili tulijue vizuri, maana mi nina wasi wasi hata account ikazuiliwa kukiqa na hela na ukashindwa kuzidai.
 
M bet wanaelekea kunitapeli tena!Jumapili walinitapeli elfu 20 kwan nilibet km saa 6 mchana (sev&chel washnde niliweka elf 10 na ikawa hvyo),then niliwapa r madrd&benfica both teams handicap na ikawa hvyo kwa elf 10 pia).Saa 2:30 usiku nikaweka elf 10 nyingine kwa napoli&psg washinde hapo nikapotea!J3 alfajiri wakan¨¬tumia receipt ya napoli&psg!Saa 1 usiku wanarudisha pesa yangu nilizoweka mapema ambazo ZILISHINDA.
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA0‰0NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.

Mkuu pole sana fanya mpango uje huku Online kidogo pesa yako inakuwepo salama!
 
Sehemu nilipo hakuna hizi biashara na nauli ya kuifuata ni elf 2 kwenda na buku 2 kurudi!
 
Back
Top Bottom