Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
mkuu man utd unawaamini kum outscore WBA? kumbuk han beki...plus kuna yule dogo berahino anatupia, hii game inaweza ikawa sare ukizingatia WBA yuko home, halafu na westham n burnley nna wasiwasi n hiyo game...atletico ni mabingwa wa kushinda 1-0
Man U nimewapa win au draw, Atletical nimewapa kufunga goli 1 au zaidi, ikitokea wasifunge ndo issue hapo, Westham kwa Burnley ninawapa Westham au draw!
Najaribu kuweka options ambazo zina risk ndogo, win or draw; total win ni Barca na Bayern pekee.
