Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

vipi mainvesta wangu, sijabet siku nyingi....wadosi tunawala au ndo wanatuzingua
 
International friendlies na qualifications zinakuja wadau. Tukituliza vichwa tutawaumiza wadosi
 
oya mechi ambazo ni rahisi kupiga mpunga ni mechi za africa kwa mfano mechi ya Ghana
na ile mechi ya ivory cost mpunga nje nje
 
duh naona hapa Turkey U 19 kampiga mtu 7- 3 hahaaa hizi mechi za vijana hua zinamagoli mengi sana ukiweka over 1.5 or over 2.5 uwakika wa kupiga pesa unakua mkubwa sana
 
Wazee wenzangu Red ziki activatiwa nishtuenii niko busy kwelii kwa sasa..
 
jamani leo katika pita pita zangu kwenye match fixture nikakutana na ligi ya hugary (liga kupa) nikaamua kuziwekea mzigo tim hizi cha ajabu zote zimeshinda tena kwa cap ya maana nimeangalia ratiba nimeona ligi itaendelea tena tarehe 11 jamani eee hii ligi mpunga upo nje nje ti kraibia nne zimeshinda kwa goli difference ya 3 nyingine 4 alafu odd zake zilikua kati ya 0.60 hadi 1.2(iplay8casino)
timi hizo ni hizi hapa itakua poa kama tarehe 11 mkiziwekea mzigo kwaa maana mpunga upo nje nje leo nimepiga dola 156.31
Videoton
Szigetszentmiklos
Debreceni VSC
Vasas Budapest
Gyori ETO
Dunaujvaros
Diosgyori VTK
 
napenda kutoa ushauri ili tuweze kumliza huyu mdosi inatakiwa tuwe tunafuatilia hizi ligi ndogo ndogo ndio kuna pesa za bure kabisa
 
jamani leo katika pita pita zangu kwenye match fixture nikakutana na ligi ya hugary (liga kupa) nikaamua kuziwekea mzigo tim hizi cha ajabu zote zimeshinda tena kwa cap ya maana nimeangalia ratiba nimeona ligi itaendelea tena tarehe 11 jamani eee hii ligi mpunga upo nje nje ti kraibia nne zimeshinda kwa goli difference ya 3 nyingine 4 alafu odd zake zilikua kati ya 0.60 hadi 1.2(iplay8casino)
timi hizo ni hizi hapa itakua poa kama tarehe 11 mkiziwekea mzigo kwaa maana mpunga upo nje nje leo nimepiga dola 156.31
Videoton
Szigetszentmiklos
Debreceni VSC
Vasas Budapest
Gyori ETO
Dunaujvaros
Diosgyori VTK

dah! Safi sana inabidi ututandazie mikeka mapema siku hiyo.
 
Wazee wenzangu hivi mnafuatilia Basket? Maana kuna mpunga si mchezo!Ila ukipoteza unapoteza nyingi pia, hakuna mikeka.
 
Yap mkuu ni mwenda wa kujilipua tuu. Siku mbili hizi sijapata faida wala hasara. Balance sheet imebalance. Napigwa na kupiga
 
Nahisi nimegundua kitu..!!!!!!

Hizi timu ndogo ndogo huwa zinanunuliwa ili watu tuliwe. Nina mifano miwili last week nilibet timu kadhaa kati yake Ilikuwa mechi moja ya saa nane usiku timu za Argentina. Mechi zote zilienda kama ilivyotarajiwa. Yaani matokeo yalikuwa yanatabirika na yakaenda sawa. Ajabu sasa Argentina: timu niliyoipa imemuacha mpinzani zaidi ya nafasi 10 kwenye table, last 5 imeshinda mechi 3 na draw 2, mpinzani kadraw 2 lost 3. Na niliyempa yuko home. Nimelala nikijua kesho naenda kuchukua mpunga nimeamka nimekuta timu yangu ikiwa nyumbani imepigwa 3-0 !! Jamani huo ni mpira kweli au tunaibiwa? Leo Plymouth ambayo iko nafasi ya 8 daraja la 2 wameifunga swindon ambayo iko nafas ya 2 daraja la kwanza..!! Hii kazi kama kuchimba madini haina formula
 
Wazee wa ipo siku tutasua!
 
Back
Top Bottom