Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman kwenye meridian naombeni dfrnce handicap ikiwa h1 inakuweje na h2 inakuweje......
 
Dah!! Imagine $20 ya ngama nimewekea juventus washinde, moyo ulikua unadunda kweli
 
sikutegemea na mimi nitafika level hizi......mikeka yangu 13 ya mwisho, nimeharibu miwili tu!! Business continues baadae.........

Mkuu hongera sana aisee! Tuombeane jamani, tunapambana na adui mmoja!
 
Duh, mkuu hao PSG walinikosesha 1.7 M walidraw kishenzi kweli

Yaani, ilikuwa bado dkk moja nifumue milion, hebu ona hapo chini mkeka wenyewe

PSG Loss.jpg
 
Attachments

Ng'ombe wa maskini hazai! Yaani Monaco wanarudisha dkk ya 92 na kunikosesha million moja hivi hivi!

Duh, mkuu hao PSG walinikosesha 1.7 M walidraw kishenzi kweli

kuna bet hii 1X&2+
yani ashinde au atoe droo na magoli mawili au zaid yapatikane, hapa ushindi wowote umekula na droo yoyote ya magoli umekula, isipokuwa drwa ya 0-0, na akishinda goli moja bila yani 1-0 imekula kwako.

na 1X&(0-3), ashinde au atoe droo na magoli mpaka matatu yapatikane, hapa ushindi wowote wa magoli chini ya matatu umekula na droo ya 0-0, 1-1 umekula, ispokuwa drwa ya magoli zaidi ya matatu na ushindi wa magoli zaidi ya matatu.

uzuri wa hizi double chances odds hazipungui, mfano kama odd kama ni 1.50 zinakuwa 1.51 au 1.48 tofauti na ile double chance ya mazima ya 1X kama odd ikiwa 1.50 ukimpa doble chance odds hupungua had 1.11.

itumieni 1X&2+ kama match unahis possibility ya kufungana magoli mengi ipo, 1X&(0-3) kama match unahis kuna magoli machache.
 
Pole mkuu psg now wamevurugwa had wakina zlatan wanakiri kuna mgogoro ndan ya timu maana kwa kikos kile haiwezekan wawe nafas ya 5

Sasa mimi hawa jamaa wananichanganya, kuna siku niliwapa draw wakafungwa, nikawapa ushindi wakadroo, mechi ya Barca nikawapa Barca/draw PSG akashinda, jana nimempa ushindi kwa reference ya yeye kumfunga Barca, akachemsha.

Natangaza kuachana naye kwa muda kama nilivyoachna na Dortmund na Inter, until further notice. They don't mean business these guys.
 
Hapo utakuwa umefanya uamuz wa busara sana maana psg ya mwaka jana kma liverpool ya mwaka jana au chelsea ya mwaka huu ni ushind kwenda mbele
 
aisee team za kuaminika sasa ni chelsea,man city,juve,madrid,barca,porto...psg na team nyingine zq france ni upuuzi mtupu..team za championship nazo hovyo sana zinaharibu sana mikeka
 
Duh, mkuu hao PSG walinikosesha 1.7 M walidraw kishenzi kweli

Ndugu yangu pole sana. Sote tunajua psg ni majanga

ulijitahidi kupanga team ila nasikirltika hukuziona alternative kama sevila ambao walicheza na vibonde la coruna
 
Meridian wanabana sana game za NBA, preseason imeanza lakini wanatoa kwa machale kweli kweli.
 
aisee team za kuaminika sasa ni chelsea,man city,juve,madrid,barca,porto...psg na team nyingine zq france ni upuuzi mtupu..team za championship nazo hovyo sana zinaharibu sana mikeka

kudadeki sina hamu na timu za engglish championship, ufaransa marseille kidogo anaeleweka
 
wazee wenzangu naombeni msaada nimewithdraw mpunga kutoka meridianbet baada ya siku moja nikachek mpesa mzigo umefika pasipo mpesa kunijulisha. tatizo nikijaribu kutuma au kutoa hiyo pesa naambiwa sina salio la kutosha kuwasiliana na voda naambiwa account yng haina salio hilo nikiwauliza kuhusu hiyo pesa wanasema imedhuhiriwa na meridianbet ila nikichek salio linaonesha mzigo umefika.
 
Back
Top Bottom