Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asenal win today believe or not
Mtaniambia mwishoni

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Habari wakuu, hivi wire inakuwaje yaani nashindwa kuelewa maana ya 1.5 goals, au 2.5 inamaanisha nini
 
Habari wakuu, hivi wire inakuwaje yaani nashindwa kuelewa maana ya 1.5 goals, au 2.5 inamaanisha nini

wire ukiweka over 1.5 ...inamaanisha mechi iwe na goli kuanzia mbili kwenda mbele zisipungue mbili..
ukiweka over 2.5 inamaanisha mechi iwe na goli 3 kwenda mbele zisipungue goli tatu...
 
Poa, kwa hiyo kwa premiere betting mfano wanatumia 1,2 sasa hapo 'yes' ni ipi na 'No' ni ipi ? Mfano 1.5 (1,2) 2.5(1,2)
 
Jamani mie wamenipa bonus ila naogopa itumia maana ikisha ndo basi tena niko mbali na hao meridian
 
Sampdoria,sevila,udinese,psg,chelsea,man u, mkeka wa mchana na alasiri.. Mkeka wa jioni na usiku psg,juve,westham.
 
Hahahaha wazee wenzangu mbona kwenye mikeka yenu hapa sioni mechi ya Man u Mechi rahisi Kidogo? Naona mmekomaa tu na chelsea ambae atawachania mikeka leo!
 
kama kawaida mzee wa Red nimeingia tena
Game za Seria A,La liga,Ligue 1 mpaka za saa kumi na mbili nimeweka Red mkiona red mjue nishaumia. (Sijaweka Epl hata moja)
 
Jana mbet nimewaliza cap ya barca na city 25000 ikatoa 19800 nasubiri wanitumie nijilipue tena man u inverness udinese
 
kama kawaida mzee wa Red nimeingia tena
Game za Seria A,La liga,Ligue 1 mpaka za saa kumi na mbili nimeweka Red mkiona red mjue nishaumia. (Sijaweka Epl hata moja)

Tuko pamoja baharia kifo cha wengi ni sherehe, ila tunawatakia vijana kila la kheri amani itawale wasipate kadi!
 
Kuna mkeka kichaa nimewapa kona zaidi ya kumi Man U na Everton.
 
Back
Top Bottom