Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
imekuja odds ngapi
Odd ya kona ilikuwa 1.85, na mkeka mzima ni shs 18,000 kwa 1.2 m.
Nauita kichaa kwa sababu nimetoa toa ushindi sana kwa timu kubwa kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imekuja odds ngapi
Shabiki wa Man U lakini Arsenal wameniudhi sana leo,,.. wamemwachia chelsea ajikite kileleni zaidi..,, nawahurumia sana mashabiki wa Gunners 🙁 ..,,
Shabiki wa Man U lakini Arsenal wameniudhi sana leo,,.. wamemwachia chelsea ajikite kileleni zaidi..,, nawahurumia sana mashabiki wa Gunners 🙁 ..,,
Mzee mwenzangu vipi mkeka wa red card bado unahema? Nimeona red mbili Italy.
aisee tumeumia sana washika bunduki lakini upande wa pili wa shilingi nimeingiza mpunga
CEO wewe ni msaliti wa timu yako.
Nishanyoosha mikono mzee mwenzangu ngoja week ijayo tenaa..,,
Sa hivi pesa zangu bora niweke mfukoni tu.Business imekua ngumu kweli!!!!
Mkuu pole sana, haya makampuni utadhani yanamanage matokeo, maana hali ni ngumu kwa investors
Dk ya 80 juventus 2 Roma 2, mkeka soon unachanika
mm nadhani wakiona timu watu wameipa sana, wanatafuta njia ya kui-manage,
na gemu itakayoniuma muda mrefu sana ni inter 1 - 4 cagliari , nilikosa laki 8 hii siku sababu ya gemu moja tu na niliiamini inter kushinda sana.
acha tu mkuu, kama jana derby county kushindwa kuifunga millwall ni kitu ambacho siamini hadi leo, jana nimekosa laki 6 sababu ya gemu niliyoiamini sana.
Dk ya 80 juventus 2 Roma 2, mkeka soon unachanika
Sampdoria,sevila,udinese,psg,chelsea,man u, mkeka wa mchana na alasiri.. Mkeka wa jioni na usiku psg,juve,westham.