Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi zake zinanikoseshaga sana pesa..,, mechi zake zinaishaga na Red Card mara nyingi saana..,,


Red ndugu tena moja wakaona haitoshi wakaongeza nyingine ya pili..,,

Yaani ndio basi tena afadhali niachane na mechi zao kabisaa!!

Nimezitolea hizi mbili za spain zilizobaki nipate mtaji wa kesho..,,

Pole mkuu.....mimi AT madrid na hull city wameninyima laki na ushee hivi hivi kwa hayo mared card yao!! Alafu mechi za barca red card ni rahisi kutokea sababu washambuliaji kama messi na neymar, akiwa na mpira mguuni kumtoa ni shida kidogo So wapinzani hujikuta wamewachezea madhambi!
 
Mimi kwa sasa nacheza double chansi tu, mfano Swansea, Leicester, Man City, Milan: nimezipa double chansi, ila total odds zinakuwa ndogo sana lakini hutoki kapa mara nyingi! Na pia nacheza games chache sana.

Hapa nasubiria game ya Milan iishe huku nimeshika mapumb!

Nasoma game za kesho halafu ntatupia kamkeka kangu wa kukopi tufe naye!
 
Duh, siku mingi kweli watu hawajatupia mkeka wa ushindi na wa ushuhuda. Ndio kusema kanjibai anatamba ama .?
 
Duh, siku mingi kweli watu hawajatupia mkeka wa ushindi na wa ushuhuda. Ndio kusema kanjibai anatamba ama .?
kuna mkeka niliweka humu, wote wametusua ila Derby county kaniua! sina hamu na timu za championship league!!
 
Hiyo mimi bonus sijaipata aisee, now i need it more than ever! keshoo asubuhii tuu nawapigiaa wanipe hako kabonasi..,,

Mi walinipa 60,000, nimekula 20,000 nyingine sikuona zilikokwenda!

Hela za gambling ni kama za mashetani aisee!
 
Hahahaah..! Hizo bonus zinatolewa kwa vigezo gani.?

Mi nadhani ilikuwa kunipoza machungu, make nililiwa sana mwezi huu, ila nikawa najifariji kwamba ni tuition fee ndo ilikuwa inaliwa.
 
Dah....***** walai...... Nilipigwa mtahi mzima....sikuamini..... Jana ndio nkapuruswa kabisaaaaaaa........ Dah..... Naamka asubuhi nkakuta bonus ya 4000 meridiani...mungu ni mwema.... Nimepata tena mtaji.....122,000.....
 
YAANI NIMEMPIGA 122,000 KWA BONUS YAKE...YA 4000......naichunga sasa BIZNEZ AZ YUSHO........ POSSIBLE WIN IS A POSSIBLE LOSS.....BET RESPONSIBLY
 
asee meridian kumbe somtym nae anachagua game za kuweka...... kuna gemu tatu leo hajaweka PSG V MONACO, WEST HAM V QPR NA DINAMO BUCHAREST V CRAIOVA...... hizi gemu 3 tu mtu unapoint zako 5...,
 
ya west ham ndio kaiweka......., bado psg na dinamo bucharest....... hao hao ....watatu point 5...20 nalala
 
asee meridian kumbe somtym nae anachagua game za kuweka...... kuna gemu tatu leo hajaweka PSG V MONACO, WEST HAM V QPR NA DINAMO BUCHAREST V CRAIOVA...... hizi gemu 3 tu mtu unapoint zako 5...,

Hizo game niliziona jana usiku ila nikasema nitazifikiria leo
 
Duh, inamaana ukipuruswa ndio bonus inakuja. Kwa wale ving'ang'anizi ambao mtaji haukatiki bonus tutaisikia tuu. Kuna siku nilipuruswa nikabaki na buku 3, but nilirise up to 80000 same day.
 
nimewapata aseee..... ila sasa mitamaa ya point nimeongeza timu bado nachuja..... hapo vp nani atoke nani aingie..... tujadilini mapema tumpige mhindi.... mia.jpeg
 
Back
Top Bottom