Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu sikushauri ukopi hizo tiketi zangu. Maana mimi nilibet kwa timing. Na mpaka sasa point zishashuka sana. nimebet under wakati game inaanza na sasa ni karibuni 4th quater. So ni probability kushinda. Saa 3 nadhani kuna game nyingi zipo, wewe just stay focus. Game zinapoanza uzifuatilie. Hii sio kama footbal kusema unaipa timu unayoijua(maana timu nyingi za soka tunazijua), ila hapa mimi binafsi nabet live kutokana na trend ya match(nazijua timu chache sana za kikapu).

Hapa nshaotea moja...maana nshakaa kwenye pc naskilizia trend inavyoenda
 
Ni hivi Bonus unashauriwa uitumie yote kwa mara moja, e.g walipokuwekea 40,000/= ulitakiwa kuiweka yote na sio kuigawa, kwa sababu ukichezea Bonus then ukapga mzigo katika malipo yao wanakata ile Bonus yao. Ndo maana uliweka 20,000/= ukala 41,000/= but return ikaja 21,000/=. Na ile 20,000/= ya Bonus iliyobaki nafikiri huwezi kuitumia tena, si ndo hivyo?

Hiyo 20,000 imepotea mazima
 
mainvesta mkeka wa kesho wa kukopi huu hapa , sharing is caring....

18:00 pecsi - videoton , away team win ..........odd 1.52..........Hungary premier

18:30 viking - molde , away team win .............odd 1.7............Norway premier

19:30 Aston vila - man city , away team win.....odd 1.52..........English premier

19:00 Caen - marseile, away team win.............odd 2.0............France ligue 1

17:00 Derby - millwal , home team win..............odd 1.52......... English championship league

Total odds 12.1, hapo ukitia 50,000/=, laki sita hiyooo.......!!!

play safe and on your own risk

kuna timu ukiziweka mkekani inakupigania pesa yako hadi mwisho sio vitmu vijinga jinga vikishafungwa kurudisha na kushinda kazi, mamamae Bordeux !

leteni na nyinyi mikeka yenu tushee ....!!
 
Bordeux ha ha ha! Jana kashindwa kudroo mshamba yule, hajui kama watu tumewekeza kwake
 
Jamani hata mie jana wamenitumia email ya kunitaarifu kuhusu bonus. Nika log in merdian nikakuta bonus ipo nataka niitumie vizuri leo hii. Ushindi lazimaaaa
 
Jamani hata mie jana wamenitumia email ya kunitaarifu kuhusu bonus. Nika log in merdian nikakuta bonus ipo nataka niitumie vizuri leo hii. Ushindi lazimaaaa

Mkuu hizo bonus zinatolewa kwa wanaowin pekee nini heeheeheee.?
 
Mkuu hizo bonus zinatolewa kwa wanaowin pekee nini heeheeheee.?

Mimi jana ni mara ya nne wananipa Bonus.
Mara ya mwisho Bonus yao ilinipa 25 times profit.
Ya leo bado sijaigusa ndo nafikiria
 
Naona Meridian washaanza mambo yao ya kutopatikana kabla sijafanya yangu.
 
Wakuu leo nimeufikiria huu mkeka
 
Attachments

  • 1412420410379.jpg
    1412420410379.jpg
    27.5 KB · Views: 126
Back
Top Bottom