Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tkhcjc.PNG wale wazee wa wire jaribun hapa (blue) me binafs nimeweka 3500 retun 43000 na vchenjchenji
 
OK mkuu sasa ukiingia kwenye deposit unakuta options 3 hizi hapa chini, ukiclick hiyo ya kwanza inakupa credit na debit options na hiyo pop up hapo chini, sina hakika kama hapa ndio tunajaza hizo info za hiyo bet card voucher, na pia hizo card tunapata wapi mkuu.

bet card ndo hiyo
 

Attachments

  • 1412253033107.jpg
    1412253033107.jpg
    67.3 KB · Views: 99
Wolfsburg.........................WIN

Fiorentina.......................WIN

Inter.....................WIN&2+
 
hamna cap hapo...hiyo inter ashinde na afunge goli mbili....au afunge na mechi iwe na goli mbili kwenda front....
 
Sawa kabisa mkuu, nimefanya home work ya kwenda pale new Africa nimechukua hiyo ya $ 10 kwa kuanzia.

Wazee wenzangu mimi nipo mwanza hizo bet Card huku hakuna yani nimejikatia tamaa baada ya kupa hizo habari za hiyo Card
 
Back
Top Bottom