Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mambo ya Floyd Myweather anaweka mkeka wa dola laki 7
 
Attachments

  • 1412638577563.jpg
    1412638577563.jpg
    30.1 KB · Views: 121
Mi nasinama kwanza mdosi ameninyonyoa sana. Ngoja upepo mbaya upite kwanza
 
Hatuko serious na hii business
Kwenye Finance wanasema kuwa, the Higher the risk the investment is, the higher the expected return, sisi twaweka vihela vidogo ambapo risk si kubwa sana hivyo hata profit yake nayo ni ngumu ipata maana utaishia on losing
 
Dah, baada ya kuingia kwenye huu mchezo nimeelewa kwa nini watu wanapata stroke wakiambiwa macontena yamezama au TRA wameyakamata!

Maana pressure nayoipata kusubiria matokeo inaweza kuua mtu, dah!

hahahaha mkuu unafungua livescore vidole vikiwa vimejaa jasho huku umefunga jicho moja
 
Hatuko serious na hii business
Kwenye Finance wanasema kuwa, the Higher the risk the investment is, the higher the expected return, sisi twaweka vihela vidogo ambapo risk si kubwa sana hivyo hata profit yake nayo ni ngumu ipata maana utaishia on losing

Mkuu hili swala ni la kweli kabisa, lakini hiyo mitaji kuipata ni changamoto. Mimi naanza kuchukua hatua za kutajirika kupitia Betting mapema iwezekanavyo; mkeka naoanza nao ni huu hapa chini.

Huu mkeka odds ni 4.97, natafuta mkopo wa sh 1m nitupie yote, ikiliwa mbele kwa mbele itakuwa moja ya hasara za biashara! Nikila ndo mtaji umeshapatikana.

Hapa natumia principal ya weka kingi pata kingi au kosa kingi!

Wazee wenzangu nipeni ushauri wa nimwondoe nani kati ya hawa, maana nataka nianze kuwachana chana Meridian.
Business 1.jpg
 
Raimundo usimuamini Bayern utaumia na hiyo Milioni
 
Last edited by a moderator:
Wazee mwenzangu kuna hii timu ya Japan inaitwa Gamba Osaka msiisahau kwenye mikeka yenu leo. Hii timu ni kama chelsea kwa sasa na kanjibaii wa meridian huwa anaipa odds nyingi mno!
 
Raimundo usimuamini Bayern utaumia na hiyo Milioni

Okay, lakini Bayern wako vizuri sana, hasa hasa wakiwa wanachezea kwao.

Huu mkeka nitaufanyia maombi kama ya wiki moja hivi kabla sijafanya decision (naweza pia kumtoa Bayern), lakini nafsi inaniambia hapa sipotezi.
 
Mkuu, hizo timu ni nyingi mno. Proba ya kuloose ni kubwa. Maana nawe ni mdau wa basket why usiichezee kwenye basket hiyo Mil weka madau ya laki mbilimbili au tatu, return ni twice . Hope kwa siku ukicheza game 3 unakuwa vizuri.

Amatafuta timu 2 zenye odds za 2 ambazo kila moja unatupia kilo mbili na nusu huku 5 ikikaa kama balance kwa lolote ama chezea basket na hivi NBA ipo karibuni. Nina uhakika tutapiga pesa.

Si umeona mkeka wa myweather hapo juu.?
 
Mkeka wa May nimeuona, Basket inanipa tabu sana kupredict (especially hizi preason), nakula na kuliwa mara kwa mara, labda ikianza NBA.

Mfano preseason OKC vs Denver, OKC wamefungwa na nilikuwa nimeweka mpunga. Durant na Westbrook wamecheza dkk 12 kila mmoja na Sergie hajaingia kabisa.

Kwa hiyo preseason naachana nayo.

Ninachofanya natafuta mtaji wa kama Mil 5 ili niutumie kucheza NBA, na huu mtaji inabidi utoke kwenye soccer. Nikipata tu huo mtaji, mimi na wadosi tutakuwa ndugu. Kama vipi wanipe share kwenye kampuni zao maana nitawapiga balaa.
 
Mkuu wewe basket huwa unacheza option zipi
 
Mkuu hili swala ni la kweli kabisa, lakini hiyo mitaji kuipata ni changamoto. Mimi naanza kuchukua hatua za kutajirika kupitia Betting mapema iwezekanavyo; mkeka naoanza nao ni huu hapa chini.

Huu mkeka odds ni 4.97, natafuta mkopo wa sh 1m nitupie yote, ikiliwa mbele kwa mbele itakuwa moja ya hasara za biashara! Nikila ndo mtaji umeshapatikana.

Hapa natumia principal ya weka kingi pata kingi au kosa kingi!

Wazee wenzangu nipeni ushauri wa nimwondoe nani kati ya hawa, maana nataka nianze kuwachana chana Meridian.
View attachment 191583
mkuu man utd unawaamini kum outscore WBA? kumbuk han beki...plus kuna yule dogo berahino anatupia, hii game inaweza ikawa sare ukizingatia WBA yuko home, halafu na westham n burnley nna wasiwasi n hiyo game...atletico ni mabingwa wa kushinda 1-0
 
Mkuu wewe basket huwa unacheza option zipi

Under/Over, OKC ninawaamini nikaamua kuwapa ushindi, pia Denver alifungwa juzi na Lakers nikamdharau.

Preseason Meridian wanaogopa kuweka live-play, so inabidi ucheze mapema ambayo ni ngumu kweli.

Nataka niweke hela kwenye acc yangu ya iPlay, naona wao wanaweka.

Mkuu zipi ni rahisi kucheza?
 
Back
Top Bottom