IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 434
- 95
mkuu natumia huawei p6 ila imenigomea katakata kufungua meridianbet..nimeshaidownload toka playstore ila imegoma kabisa kufunguka inakuwa black tu...nimeiunstall na kuinstall mara kibao tatizo liko pale pale sijui tatizo nini...inaninyima raha mpaka nitumie pc
Achana na App tumia browser ya kawaida kwenye simu yako www.meridian.co.tz