Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
M bet wanaelekea kunitapeli tena!Jumapili walinitapeli elfu 20 kwan nilibet km saa 6 mchana (sev&chel washnde niliweka elf 10 na ikawa hvyo),then niliwapa r madrd&benfica both teams handicap na ikawa hvyo kwa elf 10 pia).Saa 2:30 usiku nikaweka elf 10 nyingine kwa napoli&psg washinde hapo nikapotea!J3 alfajiri wakan¨¬tumia receipt ya napoli&psg!Saa 1 usiku wanarudisha pesa yangu nilizoweka mapema ambazo ZILISHINDA.
My take jana nil¨¬weka ticket 4,1 ya mapema km saa 7 mchana na mpaka sasa hv sijapata receipt!Hiyo ticket inastahili kushinda.Nyingine 3 wameshanitumia ambazo zimeshindwa.NA�00NA UTAPELI WA WAZIWAZI WADAU.
pole sana Mkuu,mi mwenyewe wameniibia hivyo hivyo last week na ukipiga sim wanakua wakali,achana nao au nenda of isi zao zipo airport DSM.