Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi mainvesta wangu, sijabet siku nyingi....wadosi tunawala au ndo wanatuzingua
International friendlies na qualifications zinakuja wadau. Tukituliza vichwa tutawaumiza wadosi
Hizi friendlies zinazingua sana, mara mia Qualifications watu wanakuwa serious
Wazee wenzangu Red ziki activatiwa nishtuenii niko busy kwelii kwa sasa..
jamani leo katika pita pita zangu kwenye match fixture nikakutana na ligi ya hugary (liga kupa) nikaamua kuziwekea mzigo tim hizi cha ajabu zote zimeshinda tena kwa cap ya maana nimeangalia ratiba nimeona ligi itaendelea tena tarehe 11 jamani eee hii ligi mpunga upo nje nje ti kraibia nne zimeshinda kwa goli difference ya 3 nyingine 4 alafu odd zake zilikua kati ya 0.60 hadi 1.2(iplay8casino)
timi hizo ni hizi hapa itakua poa kama tarehe 11 mkiziwekea mzigo kwaa maana mpunga upo nje nje leo nimepiga dola 156.31
Videoton
Szigetszentmiklos
Debreceni VSC
Vasas Budapest
Gyori ETO
Dunaujvaros
Diosgyori VTK
Wazee wenzangu hivi mnafuatilia Basket? Maana kuna mpunga si mchezo!Ila ukipoteza unapoteza nyingi pia, hakuna mikeka.
Nahisi nimegundua kitu..!!!!!!
Hizi timu ndogo ndogo huwa zinanunuliwa ili watu tuliwe. Nina mifano miwili last week nilibet timu kadhaa kati yake Ilikuwa mechi moja ya saa nane usiku timu za Argentina. Mechi zote zilienda kama ilivyotarajiwa. Yaani matokeo yalikuwa yanatabirika na yakaenda sawa. Ajabu sasa Argentina: timu niliyoipa imemuacha mpinzani zaidi ya nafasi 10 kwenye table, last 5 imeshinda mechi 3 na draw 2, mpinzani kadraw 2 lost 3. Na niliyempa yuko home. Nimelala nikijua kesho naenda kuchukua mpunga nimeamka nimekuta timu yangu ikiwa nyumbani imepigwa 3-0 !! Jamani huo ni mpira kweli au tunaibiwa? Leo Plymouth ambayo iko nafasi ya 8 daraja la 2 wameifunga swindon ambayo iko nafas ya 2 daraja la kwanza..!! Hii kazi kama kuchimba madini haina formula