Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii game ya bukinafaso na gabon imekaaje.? Naona gabon kapewa point nyingi kweli. Nahisi atashinda hii game.
 
Huyu jamaa dragondreamx sijui mchawi.

hhahaaa jamaa atakuwa mchawi lbd, tips ya france aw2 ilikubali, tips ya brazili aw2 ilikubali, uzbekistan naye alitengeneza aw2 na odd zilkuwa kubwa kweli, anzi dio huyoo anatengeneza aw2
 
hhahaaa jamaa atakuwa mchawi lbd, tips ya france aw2 ilikubali, tips ya brazili aw2 ilikubali, uzbekistan naye alitengeneza aw2 na odd zilkuwa kubwa kweli, anzi dio huyoo anatengeneza aw2

Mkuu hii game ya gabon unaionaje.?
 
Leo kuna
rijieka
Videoton
Goyr
Nk wapo kazin kukupati hela kiulaini........
Naaanza na game ya anzhi saa nne asubuhi

nimeziona gemu za hungary legue cup zinacheza leo, lakini meridian wameziweka tarehe 19 sijui wamekosea kwa bahti mbaya au makusudi au baadaye wata-update system zao au vip
 
Mkuu hii game ya gabon unaionaje.?

Gemu ya Gabon vs BurkinaFaso ni ngumu, Gabon alimfunga Bukinafaso 2-0 gemu iliyopita Gabon alikuwa home,

Sasa Burkinafaso leo wapo home, hivyo watafosi washinde gemu ya leo inayochezwa nyumbani, sasa je Gabon nao si ni wazuri watakubali kufungwa na mtu waliyemfunga 2-0 ?

Best tip ni GG , sababu BurkinaFaso watafos gemu hivyo wanaweza pata goli au kushinda sababu wapo home, na Gabon hawatakubali kufungwa kirahisi.
 
Kamali ni kamali tu, jana na leo nimepigwa za mbavu kwenye Basketball baada ya kujaribu kucheza over na under quarter wise!

Unaweza kuona jinsi hela zilivyonitoka, game ya kwanza q4 nikaweka under 38.5, ikabuma! Tena ni quarter pekee iliyoenda over 40 (zilizobaki zilikuwa na 29, 33 na 37).

Game ya chini hapo nimezungushia q3 nilicheza over 36.5, imagine quarter ikaisha kwa 36 tu, huku quarter zingine zote zilienda 44 na zaidi.

 


ni kweli hakuna betting ambayo ni nyepesi au ngumu, zote ni sawa tu. unaweza ukaiona rahisi ukaiweka ukapigwa tu, unaweza iona ngumu nayo ukala kiulaini. cheza bett unayoamini akili na moyo wako kweli itakwenda kama unavyoona wewe, amini moyo wako na thiking zako.
 

Yaani mpaka nimehisi kama hizi game zinaangalia nabet wapi ili zimisbehave! Yaani trend inaenda vizuri nikibet tu hali inabadilika.
 
Anzhi goaaaaaaaaaaal 2-1 now

Mkuu naona unajiandaa kwenda kula biriani na juice

Anzi ameshindwa toa AW2 au mimi ndio sielewi? Hapo ametoa 2-2 yaani away team ameongoza vipindi vyote but hajashinda vipindi vyote au sio? 1ST HALF 0-1 , 2ND HALF 1-1, yaani ameshinda 1st half but second half wametoka drwa.

HW2 au AW2 kutoka ni mara chache sana kutoka labda zikutane timu kubwa na kibonde sana, kama jana armenia vs france, japan vs brazili au hong kong vs argentina.

But 1-1 au 2-2 mara nyingi inatoka na odds huwa ni kuanzia 1.8 hadi 2.5 kama timu kibonde na timu kubwa, naziogopa sana hizo AW2 na HW2 .
 
Cheki jamaa alivyojitosa na kutusua kaweka ela ya kirus hyo 1m rub ni kama 40m za kibongo hafu kavuna 1780000 rub sawa na 71m za kibongo hapo ni kwamba aliweka game ya Psg vs Barcelona na kusema Barca atafunga goli zaid ya 1 na game ya Chelsea vs sporting kuwa chelsea watafunga gol zaid ya 1 ndo imekataa kwahyo wameitoa ndo maana ikapunguza odds na mwisho akasema porto atafunga gol alivyocheza na shakter

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…