Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cheki jamaa alivyojitosa na kutusua kaweka ela ya kirus hyo 1m rub ni kama 40m za kibongo hafu kavuna 1780000 rub sawa na 71m za kibongo hapo ni kwamba aliweka game ya Psg vs Barcelona na kusema Barca atafunga goli zaid ya 1 na game ya Chelsea vs sporting kuwa chelsea watafunga gol zaid ya 1 ndo imekataa kwahyo wameitoa ndo maana ikapunguza odds na mwisho akasema porto atafunga gol alivyocheza na shakter

View attachment 193539

Mkuu wewe kisovieti kinapanda.?
 
Nakaribia tangaza Hali ya Hatari kama leo sitashinda.
Jamani eeeh toka Ntherlands amechukua hela yangu sijaweza rudisha hata 100
 
Nakaribia tangaza Hali ya Hatari kama leo sitashinda.
Jamani eeeh toka Ntherlands amechukua hela yangu sijaweza rudisha hata 100

Wiki ya International Games kwangu ilikuwa wiki ya hasara! Nimenyanyua bendera nusu mlingoti.
 
Hivi premium beting wamekosea au ndo kweli? Eti wamempa south 2.58 tena yupo home
 
Mkuu wewe kisovieti kinapanda.?

Yah mkuu kinapanda na ndo uko nilipojifunzia kubet mkuu kwenye site za kisoviet hao wanawekaga top 15 za kila week kulingana na waliokula ela nying kwenye hyo week,mwez na mwaka pia
 
Hivi premium beting wamekosea au ndo kweli? Eti wamempa south 2.58 tena yupo home
hawajakosea, congo wazuri ndio waliompiga naijaria 2-3 tena naijaria akiwa nyumbani, nimeshngaa juzi walivvyopigwa 0-2 na south africa, kwahiyo congo wanaweza chafua hali ya hewa muda wowote.
 
Nilichoipendea bet365 ni kuwa unaweza chukua hela mechi ikiwa yaendelea cheza. Maana kuna timu huwa zaua mikeka mwishoni kabisa. Hii system ndo nitakuwa naitumia kwa mikeka mirefu
 
Nilichoipendea bet365 ni kuwa unaweza chukua hela mechi ikiwa yaendelea cheza. Maana kuna timu huwa zaua mikeka mwishoni kabisa. Hii system ndo nitakuwa naitumia kwa mikeka mirefu

Hii ya kuchukua pesa mapema iko vipi?
 
Nimekuja muangalia videoton game ya leo sio nyepesi
Goyr nayeye game yake presha tupu.....
 
Hii ya kuchukua pesa mapema iko vipi?

Yaani ni hivi. Ukiweka mkeka kadri muda unavyosonga wanakuwa wanakuwekea kiasi unachoweza toa mfano
Una game tatu na return ni 67 $ at full time. Hizo game kadri zinavyoendelea unakuta cash out wamekuandikia ambayo huwa chini ya return at ft.
Mimi nimewahi toa sababu timu za japan hazichelewi kumwaga unga so badala ya 6.8$ nikapata 5.43$ dakika ya 88.
 
Inamaana mkuu hapo tu toka jana ushafungua account ya crdb na ushadipost mpungu huko bet360?
 
Nimekuja muangalia videoton game ya leo sio nyepesi
Gyro nayeye game yake presha tupu.....

gemu hizi ni nyepesi caskar-gyori na kaposavr-frencvarosi gemu zilzopita wameshinda 4-1, 3-0 hawa lazima washinde,
ukizngatia wao wapo ligi kuu, wanaocheza nao wapo daraja la pili, futilia matokeo ya jana duonajavarosi-balimatikos jana kashinda 6-1 na gemu ya kwanza alishinda 1-4, Duonajavarosi yupo mkiani lakini ligi kuu aliyecheza naye yupo daraja la pili.

videoton -ujpest wote wanacheza ni wa kubwa wote wapo ligi kuu, videoton japo alishinda 3-1, itakuwa gemu ngumu.

visa -ajka gemu ya kwanza alishinda 1-4 ugenini leo yupo nyumbani possibility ya kushinda ipo, sema anacheza na mdogo mwenzake wote draja la pili, lakini hata kwenye msimamo wa ligi ya daraja lapili amempita aneyecheza naye.
 
Wazee wenzangu kuna game inaendelea ya Brooklyn Nets vs Sacramento Kings, ingieni fasta mpige over 49.5 quarter ya nne. Game iko wazi sana. Nimechelewa kuiona.
 
Back
Top Bottom