Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo vittese na baclesifield tu nipate mtaji wa kesho nimpe madrid,roma.barca na porto.
 
fulham hawaaminiki kabisaaaa, acha nilale zangu
 
Paok,Panthrakikos,Napoli,twente,psv,atromitos.
 
Nachofanya sasa hvI ni team 2 za uhakika kila siku , ikifika weekend nna €100-150 tosha kabisa, mtaji narudisha kwenye bank hehehe
 
Nachofanya sasa hvI ni team 2 za uhakika kila siku , ikifika weekend nna €100-150 tosha kabisa, mtaji narudisha kwenye bank hehehe

Hata mimi ningefanya hivyo, tatizo mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…