mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
umeliwa baba mpe handicap atashinda zaidi ya moja
kweli bayern anaweza kufa leo, nahis nahis hiviKwanini leo tusimuue bayen
hivi hii option huwa ina range odds ngapi
odds zina range 1.2 hadi 1.6 kulingana na gemu yenyewe na ligi yenyeweMfano. Tuchanganye mawazo
kwa mimi navoona kama yule mchizi alipiga m4 na ushee point 4800...hiyo option yya 3+ ni rahisi kidogo maana hauangaluu goli linaingia wapi 2-1 unakula 2-2 umekula 3-0 umekula..4-0 n.k
Kwanini leo tusimuue bayen
Noma kumuua
odds zina range 1.2 hadi 1.6 kulingana na gemu yenyewe na ligi yenyewe
Unahitaji kuwa na milioni kama 4 au 5 za kutumia kwenye huu mchezo, mind you, huyu akiwa anacheza namna hii ni rahisi kuvuna kuliko sisi wa buku buku.
Biashara ni mtaji, akili na bahati; kila siku watu wanafanya business zinabuma, wengine wanatoka. Sasa sisi tumelimbikiza kwenye bahati, mitaji hatuna kabisa, tunategemea buku 10 itutoe utadhani jamaa walioko machimboni kusubiri mgodi uteme.
Tutasubiri sana na hawa jamaa wataendelea kutula hizi buku 10 10, na sisi tunajifariji eti haziumi; yaani dah.
hiyo option inapatikana wapi??
Meridian ipo mbona wewe shuka chin ucheki vizuri
bate anacheza na shakhar donetsk sio shalk o4Leo jamani ni kuwa makini sana Bayern kwa Roma anaweza kufa, Man City atashinda ila mpe +2.5, shaki 04 anaweza pigwa na bate