Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo fanyeni hivi
chelsea youth win
barcelona youth win
croatia u17 win
russia u17 win
man city win
roma vs bayern GG
Barcelona win
chelsea win
derby win
briston city win
luton win
morecambe win.............
 
kwa mimi navoona kama yule mchizi alipiga m4 na ushee point 4800...hiyo option yya 3+ ni rahisi kidogo maana hauangaluu goli linaingia wapi 2-1 unakula 2-2 umekula 3-0 umekula..4-0 n.k
 
kwa mimi navoona kama yule mchizi alipiga m4 na ushee point 4800...hiyo option yya 3+ ni rahisi kidogo maana hauangaluu goli linaingia wapi 2-1 unakula 2-2 umekula 3-0 umekula..4-0 n.k

Ijaribu wewe sasa uone, utashangaa timu unazoziamini kwa kutupia zinatoka sare, 1-1 au 1-0 ndo utajua bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
nakweli mzazi....na bahati pia inachangia.....yani mechi 17 hata moja isiaribu mkeka....kuna watu wananyota za shekhe yahya sio bure.....na mwenye bahati abahitishi
 
Unahitaji kuwa na milioni kama 4 au 5 za kutumia kwenye huu mchezo, mind you, huyu akiwa anacheza namna hii ni rahisi kuvuna kuliko sisi wa buku buku.

Biashara ni mtaji, akili na bahati; kila siku watu wanafanya business zinabuma, wengine wanatoka. Sasa sisi tumelimbikiza kwenye bahati, mitaji hatuna kabisa, tunategemea buku 10 itutoe utadhani jamaa walioko machimboni kusubiri mgodi uteme.

Tutasubiri sana na hawa jamaa wataendelea kutula hizi buku 10 10, na sisi tunajifariji eti haziumi; yaani dah.

Kuna jamaa mmoja alielezea kwenye youtube huu mchezo kwa wenye ela yaan jamaa alisema uwe na mtaji wa dola buku hafu kwa siku ucheze mikeka miwil tu tena uwe unacheza timu 2 2 tu kwa kila mkeka na odds zako zichezee 1.92 total odds kwa kila mkeka na uwe unatupia dola 50 50 kwa kila mkeka kwahyo kwa week una mikeka 14 kma ukishinda mikeka 8 kat ya 14 una faida ya dola 70 kwa week
 
Leo jamani ni kuwa makini sana Bayern kwa Roma anaweza kufa, Man City atashinda ila mpe +2.5, shaki 04 anaweza pigwa na bate
 
Nimeucheza huu mkeka
 

Attachments

  • 1413908905945.jpg
    1413908905945.jpg
    32.6 KB · Views: 118
wakuu handicap pro ya premier betting msaada wa maelezo kidogo +0.5 +1.5 +2.5 hizi zinakuaje?.
 
Apoel v PSG
PSG atashinda {1.55}
BATE v Shaktar
Wape goals over 2.5 {2.2}
Wigan v Millwall
Wigan atashinda {1.88}
Blackpool v Derby
Derby atashinda handcap {1.62}
Crewe v Peterborough
Peterborough atashinda 0-2 {1.85}
Chelsea v maribor
Yellow card over 4 {1.79}
Barcelona v ajax
Yellow card over 4 {1.84}
 
mkuu ebu nipe maelekezo ukitaka ingia hiyo meridian online na mpunga wako unaupatajepataje...mi nacheza mbet tu shenzi wananila tu...
 
Back
Top Bottom