Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui hata nimetokanao wapi....
usijaribu kuiua timu ya ugiriki au ujerumani ikiwa nyumbani, atletco madrid alipigwa 3-2 na hao wadudu, nilijua juve kutoka ni kazi. halafu watu sijui hamkuiona borussia dortmund, dortumund nyumbani yupo vibaya lakini ni hataree kwa uefa champions leaugue.
 
Dah yaani leo nimeumia nimerudi zero na bank nayo inachukua siku tatu kuleta hela zangu
 
Nawaza wapi napata mtaji wa kumpa Chelsea JP. Maana Chelsea kaja kwa ajili ya kututajirisha, sema uroho tu ndio unacost.
 
As days goes, nazidi kuulewa huu mchezo.

Ukiuchukulia kimzaha mzaha, utashtukia unafirisika kila siku taratiibu.

Ila ukijipa displine, kama kucheza weekend tu, au ukila unazitoa hela na kuzitumia kwa kitu cha maana, then unahangaika kutafuta mtaji mwingine ili uucheze kwa umakini sana.

Kucheza hela ulizokula haiwi kwa umakini sana kama hela uliyohangaika kuipata.

Tupunguze uroho, tuwe na displine kwenye games tunazobet.
 
Leo
Paok win
Inter win
Psv win
Sevilla win
Bucurest win
Celtic win
Borrusia win
Nimetia 3000 tuu...
 
Naona kama naanza upya vile hawa kcb hawajatupia hela yangu toka nimeitoa bet365
 
Nimepata mtaji mdogo, natafuta hela ya kuweka kwa Chelsea na Tottenham!

Hebu tupien options!

Standard vs Sevila : 2

Inter vs St Etien: 1

PSV vs Panathinaikos: 1

Tottenham vs Asteras: 1

Villarreal vs Zurich: 1

Torino vs Helsink: 1


6,000 kwa 80,000. Ila nimetumia hisia tu, sina uchanganuzi wowote niliouweka.
 
saivi ni maendo wa kusafiria nyota za watu....na mi naucopy mkeka wako...kila siku sishindi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…