Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As days goes, nazidi kuulewa huu mchezo.
Ukiuchukulia kimzaha mzaha, utashtukia unafirisika kila siku taratiibu.
Ila ukijipa displine, kama kucheza weekend tu, au ukila unazitoa hela na kuzitumia kwa kitu cha maana, then unahangaika kutafuta mtaji mwingine ili uucheze kwa umakini sana.
Kucheza hela ulizokula haiwi kwa umakini sana kama hela uliyohangaika kuipata.
Tupunguze uroho, tuwe na displine kwenye games tunazobet.
Yaaani jana usiku nimepiga hesabu ya 1st to 23rd October
Nimejikuta nikiingiza hasara ya ..158,720
Nimebet 798,500
Nimekula 639,780
Na hapa mtu huwezi shtuka kama unapoteza kwa sababu
Unakula unaliwa
Unajikuta ukifilisika bila sababu....
Saiv nitakuwa na bet siku 3 kwa wiki
Hii ni tamaaa na nimeapia Mungu
Nitaipunguza....
Ee Mungu nisaidie....
Jamani pigeni Mahesabu ya mwezi
Wale wa meridian na bet360
FUNGUKA AKILI
pesa ipo inatakiwa kubet kwa umakini tu,
punguzeni ku-accumulate games, gemu moja au mbili zinatosha sana zikizidi sana 4 tu, ukiwa makini na ukabet kwa gemu moja unaweza jikuta unaingiza 40 hadi 60 kama ukicheza laki moja, sio biashara nzuri hii jamani?
usibet zile ngumu kama vile AW2 or HW2 or IGG au IIGG bora ubetie droo 1st half au umpe timu ushindi 1st half kuliko hizo ngumu
soma ligi na tabia zake, mfano kule scotland na wales kutoa 3+ ni kawaida, kule ugiriki kutoa under 2.5 ni kawaida sana,
tupunguze tamaa na sio lazima kubet kila siku na wakati unaona hakuna gemu ya wazi, mimi huwa nabet kama kuna gemu ya waazi kabisaa, gemu kama ya wazi na odds ndogo vilevile naziongeza odd kwa kumpa 1&H2+ au 1-1 au hata 1-1&H3+
juzi nilikula gemu ya mdrid na 2&A2+ na jana nimekula gemu ya steau bucharest 1&H2+ , kila la kheri lakini ni kweli biashara yoyote lazima iwe na mahesabu ya profit and loss.
kaka mpira upo ujerumani sasa, teh teh tehItaly mpira umeisha jana juve kaharibu mikeka ya watu leo inter kusema ukweli itanichukua ka muda kuziamini timu za italy kabisa.
pesa ipo inatakiwa kubet kwa umakini tu,
punguzeni ku-accumulate games, gemu moja au mbili zinatosha sana zikizidi sana 4 tu, ukiwa makini na ukabet kwa gemu moja unaweza jikuta unaingiza 40 hadi 60 kama ukicheza laki moja, sio biashara nzuri hii jamani?
usibet zile ngumu kama vile AW2 or HW2 or IGG au IIGG bora ubetie droo 1st half au umpe timu ushindi 1st half kuliko hizo ngumu
soma ligi na tabia zake, mfano kule scotland na wales kutoa 3+ ni kawaida, kule ugiriki kutoa under 2.5 ni kawaida sana,
tupunguze tamaa na sio lazima kubet kila siku na wakati unaona hakuna gemu ya wazi, mimi huwa nabet kama kuna gemu ya waazi kabisaa, gemu kama ya wazi na odds ndogo vilevile naziongeza odd kwa kumpa 1&H2+ au 1-1 au hata 1-1&H3+
juzi nilikula gemu ya mdrid na 2&A2+ na jana nimekula gemu ya steau bucharest 1&H2+ , kila la kheri lakini ni kweli biashara yoyote lazima iwe na mahesabu ya profit and loss.
W/end hii
Westham vs Mancity
bet: away win, au GG,
Liverpool Vs hull
hull wamefunga katika kila mechi msimu huu, lakini wamewahi kuifunga liverpool mara moja tu ktk mara 14 walizokutana, mwaka jana nyumbani
Bet: GG, au Home win
Southampton Vs Stoke
Katika game 7 walizokutna timu zote zimefumania nyavu walau mara moja, huku mara 4 za mwisho mechi zikiisha kwa draw
bet: GG, au Draw
WBA Vs Cristal palace
palace hawko vizuri sana away lakini wana defence nzuri, striking force yao iko vizuri pia, lakini mara mbili za mwisho timu hizi kukutana, magoli yamepatikana dk 10 za mwisho, mawili yakifungwa dk ya 90
Bet: first goal 28+ au GG
Burnley na Everton
Everton wamefunga katika kila mechi msimu huu lakini pia wameleak goals,burnley wanasuasua lakini kocha wao ana falsaafa ya attaking football
Bet: everton to score 1.5+ au Everton Win
Swansea Vs Leicester city
Kocha wa swansea Garry Monk atakuwa na usongo wa kurudi juu baada ya last week Victor Moses 'Kujiangusha" na kumpa stoke penalt iliyowap ushindi
Bet Swansea win
Tottenham Hotspur v Newcastle United:
Totenham wamefunga magoli 6 kati ya 10 befor half time, na Newcastle wamefunga magoli 6 kati ya 8 baada ya half time msimu huu.
Bet: Newcastle win 2nd half au Totenham win 1st Half, au NG1 NG11
Queens Park Rangers v Aston Villa
Defence ya QPR inajulikana, lakini Harry Rednap ni muumini wa attacking footbal, Aston villa wmeanza vizuri na Christian Benteke is Back, QPR wako hme hawakubali kufa kirahisi, lakini hawawezi kuizuia Aston villa kufunga
Bet: GG, au Aston Villa win
Sunderland v Arsenal
Sunderland alikufa goli 8 last week nadhani Gus Poyet hawez kukubali kufa tena kirahisi, na atakuw busy kufanya mazoezi kwenye defending, lakini pia hii inaweza ikawa advantage kwa arsenal kwa sababu psychologically Sunderland atakuwa muoga, kama arsenal alivokuwa muoga stamford bridge wakati anacheza na Chesea msimu huu baada ya zile 6, so haitegemewi sunderland watpata goli lolote ktk mchezo huu labda la kujifunga
Bet: NG 90, au Arsenal Win
Manchester United v Chelsea
Mimi ni shabiki wa chelsea, so hapa mahaba yanaweza yakatawala mkeka ukachanika, so huwa sibet hizi game za The blues. Hii game nlikuwa nafikiria GG Kutokana na attacking force ya kila timu na kwa kuwa Thibat Courtois hajazoea phscality ya Premier, ila Mou anaweza kumchezesha Petr then nkapanic game nzima, pia mou anafncy clean sheet na huenda akawainstruct wachezaji wake kukeep cleansheet kama alivofanya kwa mancity, so nna wasiwasi sana, by the way sibet hii game.
Wazee wenzangu nimerudi kucheki upepo iplay..,,