Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo hamna win wala loose mechi zote ni draw si england, germany,france,italy wala spain.
Mtaniambia baadae

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wakuu naweza kuupanda huu mtumbwi? Nipo pemba (Mosambique) nilikua naomba maelezo namna gani naweza kubeti kwahapa nilipo?
 
meridian mtandao bado unasumbua..... inawezekana hawataki leo nile ela ,

au mtandao unaniepusha kuliwa teh teh teh
 
Half time still w ham 1 v 0 maelfu ya tuliobet.Game za w ham zinaishaga haraka sn.
 
Jamani jinsi gani ya kuhamisha hela kutoka akaunt ya meridian kwenda M pesa

au jinsi gan ya kutoa hela kutoka akaunt ya meridian
 
nenda kwenye a/c yako then my a/c,
kisha click on deposit/withdrawal ,weka kias unachotaka kutoa then,
withdrawal utakuta kuna option za betshops zilizo karibu nawe na juu kabsa kuna mpesa.
 
Hivi meridian hawalijui hili tatizo la website yao kila jumamosi na jumapili au wanalikaushia tu, mbona ka hela wanapata za kutosha tu
 
nenda kwenye a/c yako then my a/c,
kisha click on deposit/withdrawal ,weka kias unachotaka kutoa then,
withdrawal utakuta kuna option za betshops zilizo karibu nawe na juu kabsa kuna mpesa.

Kwa hyo hapo kwa m pesa hela inahama.. Au??
 
final wi siku hiz ni mafua tu, tubadilike tujaribu hata GG, kudadadeki man shiti kafwaaa
 
Thanks Man City vs Westham
Mmenipa dollar 178 ambae hali leo baasi aache begting
 
Back
Top Bottom