Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hv mkuu andybird314 ww kila siku unakula cc kwetu vilio dooh au ndo unacheza na akina pweza watabir

Hahahah mkuu namshukuru Mungu kila weekend atleast napata above 100$. Leo nataka 300$ tu
Mi nacheza online tuu mikeka inanichomesha sana kama Mancity leo kaua mikeka yangu kama 2
 
Last edited by a moderator:
basket inanitoa sana....nimehama kabisa kwenye football....
 
Back
Top Bottom