Hii hapa Ndugu hope, ila kumbuka hii sio final ni mawazo yao tu, so chamuhimu ya kuambiwa changanya na za kwako.
kwaleo ni hii Football predictions for 2014-02-05 - Free pro soccer predictions - Prosoccer
Shukrani sana, utakua umefaidisha wengi zaidi.
Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon bila kusahau Benfica,Porto na Botafogo(kwa hapa tunaweka 10,000 kutoka na 25,000 hiyo ya benfica haipo kwenye M-bet)
Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma, (kwa hapa leo natupia 5000 natarajia kupata 30,000.)
Ajaoga leo naona umempiga kisawa sawa.
kuna gems nyingi nlibet then mechi moja imekuwa suspended....and hizo nyingine zimekubali ko sijajua inakuje?
Nataka kubett ladbrokes....kima cha chini ni sh ngapi??...malipo wananilipaje???
Paok,Panthrakikos,Napoli,twente,psv,atromitos.
Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon bila kusahau Benfica,Porto na Botafogo(kwa hapa tunaweka 10,000 kutoka na 25,000 hiyo ya benfica haipo kwenye M-bet)
Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma, (kwa hapa leo natupia 5000 natarajia kupata 30,000.)
R.I.P SSC Napoli huna jipya. 🙁
kuna gems nyingi nlibet then mechi moja imekuwa suspended....and hizo nyingine zimekubali ko sijajua inakuje?
Gervinho alikua garasa pale emirates,jana kaniokoa dakika ya 88! Vipi leo niwekeze nusu ya mapato ya leo
Iliyokua suspended wanaitoa and then wanakupa kilichobaki,
Sijuhi unazungumzia kampuni gani, Lakini M-Bet kwa uzowefu ni kuwa ngoma inalala mpaka itakapo chezwa.
Upo nchi gani?
Pole sana kijana Next time nitafute au jaribu kuangali hizo link mbili nilizoweka hapo juu kwa kuhakiki zaidi.