Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon bila kusahau Benfica,Porto na Botafogo(kwa hapa tunaweka 10,000 kutoka na 25,000 hiyo ya benfica haipo kwenye M-bet)

Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma, (kwa hapa leo natupia 5000 natarajia kupata 30,000.)
 
Shukrani sana, utakua umefaidisha wengi zaidi.

Pia kuna hii hapa Soccer predictions, free football tips and soccer picks

cha muhimu ni kuchagua siku/kwa maana tarehe sahihi na unazipanga mechi zako kwa percentage ya ushindi na zile zenye asilimia kubwa na prediction za magoli mengi basi ni za uwakika.

SCREEN SHORT YA LEO

attachment.php
odds.jpgodds.jpg
 
Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon bila kusahau Benfica,Porto na Botafogo(kwa hapa tunaweka 10,000 kutoka na 25,000 hiyo ya benfica haipo kwenye M-bet)

Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma, (kwa hapa leo natupia 5000 natarajia kupata 30,000.)

Ajaoga leo naona umempiga kisawa sawa.
 
kuna gems nyingi nlibet then mechi moja imekuwa suspended....and hizo nyingine zimekubali ko sijajua inakuje?
 
Nataka kubett ladbrokes....kima cha chini ni sh ngapi??...malipo wananilipaje???
 
Kwa leo mechi ambazo ni za uwakika ni Barcelona na Lyon bila kusahau Benfica,Porto na Botafogo(kwa hapa tunaweka 10,000 kutoka na 25,000 hiyo ya benfica haipo kwenye M-bet)

Zile 50/50 ni Nortngham, Madrid,Roma, (kwa hapa leo natupia 5000 natarajia kupata 30,000.)

Tehteh!
Al the way to the bank.
Mzigo umekamilika 15 kwa 55.
Siku nzuri utaipenda
Siku Nzuri utaijua tu!

Tukutane Jioni kwa Predictions za Leo.
 
Gervinho alikua garasa pale emirates,jana kaniokoa dakika ya 88! Vipi leo niwekeze nusu ya mapato ya leo
 
kuna gems nyingi nlibet then mechi moja imekuwa suspended....and hizo nyingine zimekubali ko sijajua inakuje?

Iliyokua suspended wanaitoa and then wanakupa kilichobaki,
 
Gervinho alikua garasa pale emirates,jana kaniokoa dakika ya 88! Vipi leo niwekeze nusu ya mapato ya leo

Ahaa!
Si kihivyo,
Potential yake ilikuwa waziwazi tatizo mashabiki wa Arsenal hawakuwa wavumilivu na ilifikia wakati Babu alikuwa amchezeshi mechi za Nyumbani kwa sababu ya kuzomewa, ila alikuwa anapiga za Ugenini tu.
 
Sijuhi unazungumzia kampuni gani, Lakini M-Bet kwa uzowefu ni kuwa ngoma inalala mpaka itakapo chezwa.

hamna kwa m-bet ngoma ikihairishwa inatolewa kwenye list na kama mechi nyingne zimetiki unapewa mpunga wako ila wanatoa points za game iliyohairishwa. Mi mwenyew ishanitokea situation hiyo. Hata ukichek kanuni na sheria zao ktk menu ya voda wameandika hivyo.
 
Back
Top Bottom