wengine wageni kwenye meridian yan hzo dolar zinapatwajeKipi tueleweshane mkuu
wengine wageni kwenye meridian yan hzo dolar zinapatwaje
Situmii meridian mimi natumia bet365
Mkuu upo unbeatable kwa these two weeks.
Mkuu nataka kesho niingize 1000$+
Kaa leo inanitosha aisee maana nilianza na 20$ jana usiku, leo nimehit 700+ ngoja nizidraw kabisa maana nahisi nitazitupa kwenye bet tena na nikaliwa.
Nimebakiza 140 ya Chelsea Kesho najua atanipa 300+ kwa hiyo 140
Mkuu, vipi pesa zilifika toka bet365.?
Inabidi kaulimbiu yetu ya betting iwe.
"Bet means bussines.!"
Situmii meridian mimi natumia bet365
aha vp wana tawi bongo au unabet online
Monaco, Valencia, PSG, Swansea Asanteni bado Roma tuuu nile 400$ kwa dollar 30
pole sana Mkuu.