Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game za uhakika leo ni kumpa torino,wolfburg,psv,man city,spurz,nice, game ya inter na sampdoria GG.
 
utaiona badae....oooh nimemkosakosa...... ushurikiano ni mdogo sana humu... usitegemeee sanaaaaa utapigwa tafu humu...

Kweli kaka ushirikiano hakuna, tuweke mikeka na tuichambue tuone ipi ya ushindi kwa game za leo
 
uwiii c'mon partizan...mkeka toka jana unataka uuchaneeee???? c'mon
 
meridian wanafanya nipishane na pesa..hawajanitumia pesa kwny akaunti toka jana
 
Huyu muhindi unamla laki leo kesho anakupiga laki na nusu.. Ngoja nimvizie nikimpiga moja mpaka weekend hiyo
 
Dah BET365 mpaka raha. Yaani unajichagulia zako tuu mechi za basket za kupiga pesa. Hakuna saa utalog in ukose mechi chini ya 4 katika mchezo wowote ule. Biashara ipo smooth, hakuna stress za kuzimwa server kama anavyofanya jamaa wetu wa meridian. Best of all kuna cashout pale unapohisi mambo yanaenda ndivyo sivyo.

CC: Andybird314
 

aisee ngoja tufanye michakato ya paspot
 

Mkuu nipe muongozo wa kujoin hao bet365
 
Yeallla bet365 ndo penyewe huyu meridian ajipange upyaaaa.
Hadi sasa mkeka wangu wa jana unapumua vizuri kabisa na cashout inazidi panda kadri muda uendavyo
 
xyz123
Mimi sikuanza na hela kama yako nikianza na dollar 20 tu ila nikafika juu hadi nikaogopa. Wewe kwa hela yako hyo una uhakika wa dollar 300 leo pekee kwa online. Mimi 20 hunipa 100+ a day sana sana ijumaa, jumamosi na jpli hapo lazima dollar isome digit 3
 
Last edited by a moderator:
Mikeka mimi niliweka ya week nzima na mingine leo ndo inaisha.
 
Marseille Na Bayern München siwaamini

Kama unafatilia mpira vizuri unaweza kujua kiwango cha Marselle kwa sasa+wanacheza Cup so kwa vyovyote vile team itakua inatafuta ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua icho kikombe………Bayern Munichen dunia nzima inajua anashinda leo+icho kikombe kina heshima yake nchini Germany…..na ofcourse mziki wa bayern unafahamika iko kamili idara zote!!So nategemea ushindi kutoka kwao…..Hizo odds hazichez uwanjan,so usiogope hata mtu akipewa odds ya 5 mfate tu…kama ana kila sababu ya ushindi.
 
Man city sijui wana matatizo gani hawa wiki iloisha walinikosesha pesa na wiki inauma aiseee
 
Man city sijui wana matatizo gani hawa wiki iloisha walinikosesha pesa na wiki inauma aiseee

Man City anashinda hiyo game…..but kwa timu kubwa za England huwa wanawekaga benchi baadhi ya majembe yao sijui kwa nini naona icho kikombe kama hawana interests nacho sana.
 
Hawa Meridianbet hawajaweka mechi tamu za Dutch KVNB Beker online cuz kule ni watu wa kutupia magoli yaani kama mechi ya Zwolle nlikua naitamani kweli nicheze live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…