Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

dah leo nimewapigaaaaa meridian...mikeka imecheka...hapa nimeweka mwingine game ya brazil serie b kati ya santa cruz vs vilanova...HT ilikua 3:0..nikachagua matokeo ya mwisho yatakua over 4.5..odd zilikua 2.8..nikatupia 50000 sasahiv dakika ya 68 tayari matokeo 5-1
 
Leo natembea hivi Screen Shot 2014-10-29 at 2.26.24 AM.pngScreen Shot 2014-10-29 at 2.46.52 AM.png
 
Mikeka yangu bado inapumua na cash out ya 18$ hadi sasa, toternham, juve,inter,roma,milan malizeni kazi usiju huu niingize dollar 380
 
Hahahaaaa...! Mkuu leo nimeota nimepiga pesa bet365, ilhali bado nasita kuwekamo pesa humo bet 365 kutokana na kesi yako.

Sasa hapa nimeamua liwalo na liwe, now naelekea NBC kuwekamo dola kadhaa niaze kazi maana naona najichelewesha pasipo sababu. Hahaaahah.

Hebu niambie ujanja wako, nipitie mitaa ganj ili kutumbua na kutusua pesa.?
 
Hahahahahahahahah
 
Nadhani NBC wako poa. Hawa wakenya wanazibania hela zangu. Ila next time nikitaka draw nitatumia acxount nyingine.
Bet365 iko fast online, mimi huwa natumia sana online, pia nimependa cashout yao ukiona hatari unatoa hela mapema.
Tumia hii kickoff.co.uk iko poa kujua winner wa match
 
In case kwa mfano umeweka $70 dk ya 3 matokeo yakiwa droo na kusema mechi itaisha kwa timu A kushinda. Mpaka dk ya 80 timu A imefungawa 2-0, je uki-cash out hiyo dk ya 80, zinarudi $70 zako zote.
 
wakuu nisaidieni kwenye meridian nikataka kuchagua double bet ya draw au away team kushinda naenda wapi (X2)?siioni hii option na sina imani na milan
 
In case kwa mfano umeweka $70 dk ya 3 matokeo yakiwa droo na kusema mechi itaisha kwa timu A kushinda. Mpaka dk ya 80 timu A imefungawa 2-0, je uki-cash out hiyo dk ya 80, zinarudi $70 zako zote.

Hapana mkuu
Ni hivi mfano umeweka mkeka timu kumi, timu saba zinacheza jumamosi, zile za jumamosi zote zikashinda na wewe ukahisi timu za jumapili zitaharibu mambo hivyo unaweza cash out zaidi ya ile hela uliyoweka ila ni pungufu ya hela uliyotakiwa pata kwani timu zote hazijacheza.
Mfano mwingine ni huu.
Kwa hiyo timu yako ikifungwa hela inapungua kwa kasi sana ikifunga la pili hela inapotea kabisa.
Hapo unatakiwa uwe waangalia wapi timu inaelekea
 
Inamaana kwa case ya live hakuna cashout.?
 
Tottenham vs Brighton 3+
Monchengladbach win
Stoke win
Genoa vs Juventus 3+
Hamburger vs Bayern Munich 3+
Roma win
Sevilla win
 
Tottenham vs Brighton 3+
Monchengladbach win
Stoke win
Genoa vs Juventus 3+
Hamburger vs Bayern Munich 3+
Roma win
Sevilla win

aiseee mkuu hapo kwa stoke utaaribuuuuuu..southampton hawashikiki na hawafungiki kirahisi...bora utafute game ingine hiyo toa kabisa...kuna partizan,asteras tripolis etc
 
Meridianbet inaniletea ivo jama leo... tatizo nini??
 
Attachments

  • 1414567358701.jpg
    1414567358701.jpg
    85.8 KB · Views: 77
aiseee mkuu hapo kwa stoke utaaribuuuuuu..southampton hawashikiki na hawafungiki kirahisi...bora utafute game ingine hiyo toa kabisa...kuna partizan,asteras tripolis etc

Southampton yupo kwenye form lakini kama unakumbuka mechi za mwanzo alimfunga stoke kwa shida sana goli moja hafu alikuwa kwake, ila nadhani unajua kabisa stoke akiwa kwake anavyokuwa mgumu...kwahiyo hii mechi itakuwa na magoli machache na stoke lazma ashinde au itakuwa droo ila Southampton kushinda haiwezekani
 
Dini yetu hairuhusu kulamba riba

loh ni shedaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom