east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wenzangu nimekuja na njia nyingine ambayo haiitaji ufundi wala research..,, We chagua tu timu zozote zile weka double chance wafungane (1or 2) basi sikilizia matokeo..,, NIMEJARIBU NA SITOIKATIA TAMAA IKIFELI LEO DAY ONE..,,
Bado sjaelewa mkuu hii ni ile double chance ya kawaida ama?
ndio ile ile ya kawaida..,,
Mainvesta mi sahivi nadili sana na option mbili. Ya kwanza nachagua tim zenye uwezo kama 4 mfano chelsea,man city,barca,madrid. Nazipa goals 1+ ikisoma odds 2 tu naweka mpunga wa kutosha.. Option ya 2 ninacheza 1st half 2+ hapa odds huwa nying sana sometime had 3 zinafika kwa game 1. Hii option huwa nadili sana na game za uholanzi coz wale jamaa wanacheza kwa falsafa ya total footbal na tik taka hivyo game inakua na chance kubwa ya magoli mengi kutokea.
Jamani leo twajilipua kwa nnani

mzee mwenzangu mi leo nampa caen,lens,nantes na chelsea
Siamini bado
Yaaani leo siku ya nne mfululizo na mla kanjibah wa meridia
Hongera mkuu. Nasubiri nirudi huko nimuwakie huyo Meridian lazima aseme pooo
Siamini bado
Yaaani leo siku ya nne mfululizo na mla kanjibah wa meridia
Hivi inabidi ule kama sh ngapi Meridian wakukatae? Maana nina mpango wa kuhakikisha nagawana naye faida!
Nimeongelea kuwa lazima nile hadi na wao waseme faida imepungua