nakwambia tumbo joto juve na inter wananipa pressure hadi naona leo ningecheza ujerumani tuMan City anashinda hiyo game ..but kwa timu kubwa za England huwa wanawekaga benchi baadhi ya majembe yao sijui kwa nini naona icho kikombe kama hawana interests nacho sana.
nakwambia tumbo joto juve na inter wananipa pressure hadi naona leo ningecheza ujerumani tu
Mbona wajembe karibia yote ya man city nayaona ndani
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Dah BET365 mpaka raha. Yaani unajichagulia zako tuu mechi za basket za kupiga pesa. Hakuna saa utalog in ukose mechi chini ya 4 katika mchezo wowote ule. Biashara ipo smooth, hakuna stress za kuzimwa server kama anavyofanya jamaa wetu wa meridian. Best of all kuna cashout pale unapohisi mambo yanaenda ndivyo sivyo.
CC: Andybird314
Yaani mi sijapumua kabisa wiki iliyopita nimeomboleza tena kwa timu ninazoziamini kweli. Leo nilizani man city hawezi kukubali kupoteza game mbili in week nikampa lakini amenikatisha tamaa kabisa. Bora nibaki nacheza na ligi za ujerumani, scotland na spain huku kwingine ni kurudishana nyuma kimaendeleo. Mancity wameniuzi sanaMpaka sasa hivi nahisi vilio vitatawala humu ndani. . .mimi kubet tena mpaka weekend. . .nimeshapewa punches za kutosha mpaka muda huu yaani mpaka live betting imegoma
Man city leo ndo mara yangu ya mwisho kuwapq aisee kupoteza mechi mbili kwa big team kama hii ni upuuzi kabisa. Mancini enzi zake zimeisha sasa
Big team ku loose team kwa kitimu kidogo kwa kuogopa majeruhi ni ujinga sana. Hawaoni wenzao wanavyofanya huko kina buyern barcelona all big teams you know. Tena kupoteza mechi 2 kwa week bora wange droo hataHawachezi vizuri wanaogopa injuries hao,,,,,,si unajua wana mechi zijazo na Man U EPL then CSKA Moscow UEFA
Big team ku loose team kwa kitimu kidogo kwa kuogopa majeruhi ni ujinga sana. Hawaoni wenzao wanavyofanya huko kina buyern barcelona all big teams you know. Tena kupoteza mechi 2 kwa week bora wange droo hata
Nayajua mkuu thus why my favourite league ni spanish kule watu hawabagui eti haka ka mbuzi ka dogo haka kakubwa watu wanajua kazi wanastahili kuwa na clubs tajiri kwa kweliSasa hapo inategemea na falsafa ya kocha pamoja na interests za club .kwa mfano kama Napoli chini ya Benitez wako more focused on Europa league ..wenyewe hata wasipochukua kikombe cha serie A kwao poa tu ili mradi waingie europa kwa big 4's wa England wenyewe ni EPL na EUEFA .Tukienda Germany icho kikombe chao kina heshima kubwa huwezi kufananisha na hako ka Capital 1 cup .Ndo mana hata Dortmund kwenye ligi ameanza vibaya but mcheki kwenye icho kikombe kazi atakayofanya .Haya akina Barca kule hakuna kuremba,,,,,,Ukicheza vibaya huchukui kikombe hata kimoja msimu mzima .watu wana ushindani mpaka nje ya uwanja ya kina Messi na Ronaldo si una yajua?
Leo ndo serie A nimeifuta kabisa ubongoni kwangu hata niambiwe juve au inter anacheza na timu ya daraja la pili au anacheza na yanga au simba siwezi jichosha hataman city ni sheedah, juve naye ni booomu, juve ingekuwa uingereza au spain ni timu ya kaiwada kabisaa hadhi ya stoke city like au malaga like.......!!!
Sio kenge tu hao ni zaidi wapuuzi sana hawaManvkty, juventus nyinyi ni kenge watu