Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiroho sayona.....mkeka huo....
Hapo mimi niliwahi tumia ila ukichagua ni kuwa timu ya kwanza hadi ya tano lazima ishinde ikifungwa hata moja imekula kwako hata kama timu zote 32 zishinde
kiroho sayona.....mkeka huo....
Rubin,rayo valecano,crystal palace,lazio.
huo mkeka ni wa ligi ya wapi ndg?
Lakini zikishinda zote ina maana kama uliweka buku 10 hela itazidishwa mara match zote au inakuaje?
Wakuu leo Crystal palace anapigwa. Final
Mipango madubuti ya kila siku nile hela ya tajiri wa meridian
Nimejipanga
Na saiv naenda siku ya 4 mfululizo tena nategemea kwenda 30dayz mfululizo
Hongera zako aiseeeMipango madubuti ya kila siku nile hela ya tajiri wa meridian
Nimejipanga
Na saiv naenda siku ya 4 mfululizo tena nategemea kwenda 30dayz mfululizo