Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kiroho sayona.....mkeka huo....
 

Attachments

  • 2014-11-03--12_09_24.jpg
    28.8 KB · Views: 91
Hapo mimi niliwahi tumia ila ukichagua ni kuwa timu ya kwanza hadi ya tano lazima ishinde ikifungwa hata moja imekula kwako hata kama timu zote 32 zishinde

Lakini zikishinda zote ina maana kama uliweka buku 10 hela itazidishwa mara match zote au inakuaje?
 
AaB, zaragoza, Valecano, teplice U21, jong PSV, crystal palace, aberdeen,
 
Wakuu mechi za leo hizi
 

Attachments

  • 1415010994304.jpg
    18.7 KB · Views: 112
  • 1415011015719.jpg
    19 KB · Views: 96
  • 1415011039549.jpg
    17.9 KB · Views: 98
Lakini zikishinda zote ina maana kama uliweka buku 10 hela itazidishwa mara match zote au inakuaje?

Hapana utapewa kwa mechi ulizoshinda ambazo ni zinafatana kuanzia ya kwanza hadi tano
 
rubin kazan bana..... unafunga dkk 90 ...92 anarudishwa....si ungese huuuu
 
Mipango madubuti ya kila siku nile hela ya tajiri wa meridian
Nimejipanga
Na saiv naenda siku ya 4 mfululizo tena nategemea kwenda 30dayz mfululizo
 
huu mchezo ukitaka ufaidi unatakiwa ucheze live in play...mi mikeka napigwa mnoooo..juzi game ya bayern vs dortmund baada ya bayern kupigwa dakika ya 64.. meridian wakawapa bayern odd 4.70..nikajikaza kisabuni nikatupia 50000 fasta...mungu si athuman jamaa wakachomoa na kushinda..nikala 235000 saaafi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…