Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mazeee kikapu ni simple mnooo over or under..... na hizi nilibet before game hazijaanza.....nanilijichanganya kwa memphiz..... hajawahi katika game zao 5 h2h ni moja tundio aliwahi kuvuka 180....zingine zooote ni 175 178 179....nkasemaaa aarh leo atavuka ..***** kaniua peke yake nipo ofsini hapa nacheki mkeka hooooi.....nimejilaumu kimbwa....
 

Almanusra utusue! Memphis wanacheza defensive game sana, na ukiangalia ndio wanaongoza kwa kuruhusu points chache! Kwa hiyo na wao wanakuwa hawafungi sana.
 

Safiii....leo ntajarib....kama utatupia mkuu hebu rusha humu basi tudiscuss....ungeweka humu mapema watu wangekushaur
 
ndio bet yangu ya kwanza kikapu.... tangu machama yangu yazingu LA lakers na chicago ...yaani NBA imenikaa kushoto sifatilii kiviiile.... sasa nahamia huku rasmi mzee..... kama vp inaonekana kikapu recently unakifatilia vizuri.....ntakuwa natupia humu kama kawa ...mechi nyeusi una ni alert tu....
 
huu niliweka baada ya kuvurugwa hivi kwenye soka...... nikasema kuna wataalamu humu wa kikapu niutupie ...hata huu wa soka niliutupia ..... net ikagoma .... mara nyingi mkeka nikiuamini narusha ....
 
home work hiyo hapo.... ila orleans over 191.5, bulls over 183.5, miami over 192.5, Bucks 191.5 over hawa hawajawekwa bado ila kimahesabu kama wanavuka flani.... waliowekwa mpaka sasa ni hao chini....haya sasa twende kazi
 

Dah, kweli. Hizi zikija mapema wadau kibao watasaidia kufanya discussion.
 
Safiii....leo ntajarib....kama utatupia mkuu hebu rusha humu basi tudiscuss....ungeweka humu mapema watu wangekushaur
Jamani kwenye basket mtu unakujaje kama hata timu sizijui maake football mizenguo tu naombeni msaada wajemeni
 
home work hiyo hapo.... ila orleans over 191.5, bulls over 183.5, miami over 192.5, Bucks 191.5 over hawa hawajawekwa bado ila kimahesabu kama wanavuka flani.... waliowekwa mpaka sasa ni hao chini....haya sasa twende kaziView attachment 198990

Hapo kwenye New York na Washington toa, hawa NY hawatabiliki sana na wamekuja na style mpya ya uchezaji ambayo Star wao Camelo Anthony anatakiwa kudistribute zaidi ya kufunga, na wanajaribu kubalance defense na offense.

So labda uweke kwamba watashinda ila under na over ni doubtful kwa hawa jamaa. Huo ni mtazamo wangu.

Cleveland ok, tuko sawa.

OKC wamewapoteza top scorers kwa majeruhi: Westbrook na Durant, hivyo na wao ni hati hati sana kuvuka hizo point.

Lakers ok, tuko sawa.
 
Leo unampa real Madrid na athletico Madrid na arsenal kisha unaweka 10000 na unasubiri Pesa yako kiulaini.


Cc: NkyaH
 
Last edited by a moderator:
kimahesabu nimesharudisha 3000 ya jana hii game ipo live now.... wakaweka u/o 173.5 ...kimahesabu kila quarter inatakiwa kuwa na goli 43.5 ....quarter ya kwanza imeisha na wamefungana 19 kwa 13 (jumla 32 pungufu point 11.5) zoezi linakuwa gumu kwao sasa ili niliwe wanatakiwa kila quarter sasa wafungane 47.3 ....
 
Leo kuna championship, uefa yaani leo usipokula nenda kafunge account yako
Zenit
Real
Arsenal
Juve
Basel
Monaco
 

Hawa ni vichaa kaka, usishangae wakikushangaza, unaona saa hizi quarter imepanda mpaka kwenye 46.5.
 
Leo kuna championship, uefa yaani leo usipokula nenda kafunge account yako
Zenit
Real
Arsenal
Juve
Basel
Monaco

kati ya zenit basel au monaco mmoja atakuliza..... monaco unaweza cheza 28+ hata base na zenit mechi zao nyeusi..... kunaweza kusiwe na goli first 28 mins.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…