Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
vichaaa kweli.... weshafika 44....
yaone sasa quarter ya 1 point32...ya pili 51.... ya tatu inaelekea kuisha wana 30.... nyambaaafWashaniliza sana hawa na madogo wa Phillipines! Wanaanza kama wanatania, then unashangaa wanaweza fika hata 60 kwa quarter.
Msaada wa ushauri wakuu nataka kujilipua na timu mbili kati ya hizi!Zenit,benfca,r madrid,a madrid&arsenal.
Cc andybird,mtoto wa nzi,xyz na wengineo.
Hapo mbona zimekaa poa sana
Wakuu Mikeka Ya Leo Nimejilipua!Nimempa
Arsenal
Liverpool
Wa Pili
Zenit
Real Madrid
Arsenal
Juve
Na Atletico Madrid
Liwalo Na Liwe
Homework /ofoce work ya leo imesomeka hiviiiiView attachment 199056
Mkuu huu mkeka una pesa