mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
gemu ya man city ilikuwa ngumu, haikuwa ya kugusa, yeyote angefungwa matumaini yangefutika kwa asilimia 70 na city amefungwa matumaini yamepotea kabisaaMancity n Chelsea wangeseeeeeeee si bet tena Kula siku timu moja moja zinaniharbia aaaaaaaah
Leo jamani niko hapa
Besktas
Everton
Steua
DKyv
Villa
C Brugge
Torino
Totterham
Sevilla
Rijeka
Napoli
Atafutaye hachoki akichoka ujue kapataNachokukubali mkuu ni kwamba pamoja na disappointing results wewe huchokagi kuweka pesa.. Ila kweli mkuu mechi zote hizo zitoke win??
Nachokukubali mkuu ni kwamba pamoja na disappointing results wewe huchokagi kuweka pesa.. Ila kweli mkuu mechi zote hizo zitoke win??
Ndio mkuuu leo nayo ni siku ya hela. Maana nisipowin leo inabidi tena niingie hasara ya kuweka mtaji. Thanks kwa bet365 kila weeek wananipa bonus
Mkuu bonus za kila wiki unaclaim vipi toka kwa bet365.? Halafu umeiona trick ya pesa niliyoiweka hapo juu.?
Huwa wananitumia tu.
Nimeona ndo nataka nijaribu hapa
Bonus yao inakuwa kiasi gani. Vipi ile issue ya transfer ya pesa to KCB ilifanikiwa.?
Wakuu katika kutafakari simple trick ya kupiga pesa nimeona kuna hizi trick nzuri sana za kupiga pesa. Kuwin ni over 90%. Nazo ni hizi.
1. Kucheza option za magoli. Hii inakuwa nzuri kwa bet365 kwani wao wana option nyingi sana. Na option zenyewe ninazozizungumzia ni match nzima iwe na 1+ ama 2+. 1+ ama 2+ kupatikana katika soka ni kitu cha kawaida sana na most ya matokeo katika soka huishia kwa timu mojawapo kufungwa. Ingawaje hizi option zina odds ndogo zinazorange 1.05 to 1.1 kwa 1+ halikadhalika 1.18 to 1.3 kwa 2+ kutegemeana na match. Hivyo ukichagua say kucheza 1+ match nzima na kuweka timu 10 unaweza pata total odds 2 na kudouble pesa yako. Na ukichagua kuweka 2+ kwa timu 5 pekee waweza jikuta na odds za 5. Kwa njia hii ili ule pesa ya maana inabidi uweke pesa nyingi ambayo itaonekana ukiila. Say laki kuendelea, hii option ya 1+ naona ni best kwani inahitaji shallow analysis ya match kabla ya kuweka mzigo.
2. Kuchanganya timu za michezo mbalimbali. Kwani unaweza changanya mkeka wa basket, hockey, snooker, tenis, volleyball, soka n.k unahitajika kuwa versatile ili upige pesa. Mchezo kama basket mshindi huwa determined kabisa so nao ukiweka timu za kueleweka say timu kumi hukosi total odds ya 3+. Ukiweka mzigo wa kueleweka means pesa inakuwa tripled.
Kauli mbiu yetu ni
"Betting means bussines"
msaada wa postal code ya tanzania jamani nimejaribu kujoin 10bet inaniambia niweke postal code ya Tz.
Mkuu sio hii kweli +255?
Mkuu hio ni country code, jamaa anaulizia postal code which navojua mie tz bado tunatumia P.O.Box